Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Kwa first year wengi huwa wanapewa kipaumbele kukaa hostel.hivyo ukiwai kufika utapata uwakika zaidi. Dean of students ndo anashughulikia hili swala ni mama mmoja poa sana.

Ahaa asante mkuu
 
Nimemaliza hapo;
Mazingira yapo poa sana, mabomba ya maji kila sehemu vyoo vya kutosha.

Mwaka mimi naanza mgt haikua poa, ila midway thru ikabadilishwa lot of ppl wana iman na mgt mpya so hata mgt naweza sema iko sawa.

Taaluma wako vizuri field kwa pale km ni degree utafanya ukiwa mwaka wa pili, lakini utakutana na wanavyuo wengine utakuta unajua mengi kushinda hao (labda ni uwezo wa mtu mmmoja mmoja).
Washikaj wa mwaka wa 3 na wa 2 watakua fasta kuchagua wapenz jiangaliaeni wadada.

Vyumba vya nje bei kwa hapa feri hua inakua juu coz wanajua lazima ukae ila ukisogea mpk Tungi chumba cha 80k ni self contained.

Kuna mengi mengine watamalizia wadau wengine.
 
maelezo yako nimeyapenda naimani atakua ameelewa zaidi
 
Kipo karibu na bahari,upepo mwanana ukowa darasani unaona meli zinakatisha tu,pia ukiwa Chuo kwenye vimbweta unatazama 'City center' ya Dar es salaam kwa uzuriii majengo pacha ya BOT,jengo ya TPA na mengine yaliyopanda hewani hiyo ni kuhusu mazingira vingine sijui
 
sawa mkuu kutakua poa sana uko
 
Nimemaliza hapo;
Mazingira yapo poa sana, mabomba ya maji kila sehemu vyoo vya kutosha.

Mwaka mimi naanza mgt haikua poa, ila midway thru ikabadilishwa lot of ppl wana iman na mgt mpya so hata mgt naweza sema iko sawa.

Taaluma wako vizuri field kwa pale km ni degree utafanya ukiwa mwaka wa pili, lakini utakutana na wanavyuo wengine utakuta unajua mengi kushinda hao (labda ni uwezo wa mtu mmmoja mmoja).
Washikaj wa mwaka wa 3 na wa 2 watakua fasta kuchagua wapenz jiangaliaeni wadada.

Vyumba vya nje bei kwa hapa feri hua inakua juu coz wanajua lazima ukae ila ukisogea mpk Tungi chumba cha 80k ni self contained.

Kuna mengi mengine watamalizia wadau wengine.

Dah nimekupata A-Z asante mkuu
 
Back
Top Bottom