Mwalimu na Mwanafunzi1

Mwalimu na Mwanafunzi1

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,948
Reaction score
13,378
Mwanafunzi mmoja alikuwa analia baada ya kuporwa kalamu na mwenziwe ndipo mwl akawa anamsihi yule mtoto asilie. MWALIMU:usilie sana utakuja kuwa mbaya ukubwani .MWANAFUNZI:Bac inaonesha mwalimu ulikuwa unalia sana wakati ukiwa mdogo
 
hahahahahahaaa dah! Inawezekana huyo denti alikula mikwaju mpaka basi
 
Back
Top Bottom