Sisi huwa tunafundisha kama utapenda ila tuna ratiba zetu. Mwaka jana tulikuwa na training kama hiyo naambatanisha tangazo kukupa idea ya kinachofanyika. Kwa mwaka huu Training ya kwanza ni mwezi Mei.
(
NOTE: Hiyo ilikuwa Maalum kwa Wanafunzi na gharama zake huwa tofauti na za kawaida)
Kama utapenda ratiba kamili ikitoka nikuarifu nitumie Namba yako na email inbox.
Training inaendeshwa Mubashara ukiwa na mwalimu, Ubao, n.k kama darasani. Pia session inakuwa recorded na inatunzwa kwa muda in case ulikosa darasa unaweza ku play back.
Kama unahisi itakufaa basi unakaribishwa Mwezi Mei na kama utataka kuwa notified tarehe ratiba ikiwa tayari basi nitumie details PM kama nilivyosema.
Kuhusu wakufunzi, ni wataalam ambao kuandika Code ndio kazi inayowaweka mjini tangu kitambo.
Pia tunafanya Corporate Training kwa Makampuni kwa Kozi anuai. Kwa aliye interested ni PM kwa ajili ya Course Catalog. Haya yote yanakuja na website ambayo kwa sasa iko katika matengenezo.
Mwezi huu tulikuwa na Course hii na Watu wa Corporate pale Flomi Hotel Morogoro (Angalia Attached PDF).
Karibuni kama kuna maswali!