Kutazama Teebeethee kunahitaji malipo?Huwa mnamlipia au analipa mwenyewe au wewe baba mwenye nyumba na hayo ndio masharti yako,kwa hiyo wewe unaamua uhuru wa wengine,unajuaje yeye kachagua hiyo unayoiona wewe ni shida

Let it go! kunapipo zimekunywa maji ya bendera....hauwezi kuwabadilisha chochote, wapo na wanaamini wanchokiamini! Hatuezi kuwa sawa...Ujue walimu wa Tz sijui wamerogwa
Walimu wa Tz ndo wanatumika kuibeba CCM kipindi cha uchaguzi mwisho wa siku wanatupwa kama makapi ,mshahara wanaongezewa elfu 6 kweli walimu mnanyanyasika sana
Mwalimu unaacha kuangalia chaneli zingine za TV upanue mawazo yako na ujue jinsi ya kudai haki yako wewe kutwa kucha unaangalia TBC
TBC ni Chanel ya CCM haina jipya habari zote ni za kumpamba Magufuli na Bashite wake sasa unapozidi kuiangalia unapoteza uwezo wako wa Kufundisha yaliyo mema mwisho unafundisha ujinga tu kama CCM wanavyopenda
Kuna ticha jirani yangu hapa ghetto ka chizi yani kutwa kuangalia TBC akiendelea naenda kung'oa lile dish lake LA Azam![]()
![]()
![]()
Kwel mkuu,hata mimi mtaani kwangu kuna Mama mmoja ni Mwalimu,yaani Tbc na yeye,au huwa wanafuatilia labda kama mshahara utaongezwa,matokeo wameambulia buku 6 hii ni aibu ilioje?,miaka miwil buku 6 inasubiriwa,na bado mna matumaini na Ccm!Ujue walimu wa Tz sijui wamerogwa
Walimu wa Tz ndo wanatumika kuibeba CCM kipindi cha uchaguzi mwisho wa siku wanatupwa kama makapi ,mshahara wanaongezewa elfu 6 kweli walimu mnanyanyasika sana
Mwalimu unaacha kuangalia chaneli zingine za TV upanue mawazo yako na ujue jinsi ya kudai haki yako wewe kutwa kucha unaangalia TBC
TBC ni Chanel ya CCM haina jipya habari zote ni za kumpamba Magufuli na Bashite wake sasa unapozidi kuiangalia unapoteza uwezo wako wa Kufundisha yaliyo mema mwisho unafundisha ujinga tu kama CCM wanavyopenda
Kuna ticha jirani yangu hapa ghetto ka chizi yani kutwa kuangalia TBC akiendelea naenda kung'oa lile dish lake LA Azam![]()
![]()
![]()
Uhuru wa kupata habari jinaUhuru wa kupata habari.