Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,708
- 8,746
Ujue walimu wa Tz sijui wamerogwa
Walimu wa Tz ndo wanatumika kuibeba CCM kipindi cha uchaguzi mwisho wa siku wanatupwa kama makapi ,mshahara wanaongezewa elfu 6 kweli walimu mnanyanyasika sana
Mwalimu unaacha kuangalia chaneli zingine za TV upanue mawazo yako na ujue jinsi ya kudai haki yako wewe kutwa kucha unaangalia TBC
TBC ni Chanel ya CCM haina jipya habari zote ni za kumpamba Magufuli na Bashite wake sasa unapozidi kuiangalia unapoteza uwezo wako wa Kufundisha yaliyo mema mwisho unafundisha ujinga tu kama CCM wanavyopenda
Kuna ticha jirani yangu hapa ghetto ka chizi yani kutwa kuangalia TBC akiendelea naenda kung'oa lile dish lake LA Azam