Mwalimu Mkuu wa Serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu Mkuu wa Serikali

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Adharusi, Jul 24, 2012.

 1. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  Kwanini katika serikali hakuna cheo cha mwalimu mkuu wa serikali kama zilivyo nafasi zingine
  1.mwanasheria mkuu wa serikali
  2.mkemia mkuu wa serikali
  3.daktari mkuu wa serikali
  4.mkuu wa jeshi la polisi
  5.mkuu wa jeshi la kujenga taifa
  6.mkuu wa jeshi la wananchi
  7.mkuu wa magereza
  8.mhasibu mkuu wa serikali
  9.
  10
  Kwanini waalimu tu,,,ongezea wengine na majibu pia
  "vox populi,Vox dei"
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  9. Engineer Mkuu wa Serikali
  10. Mwanasiasa/Mwanadiplosia mkuu wa serikali
  11. Mchumi mkuu wa serikali
  .
  .
  .
  . Mmmmmmmmhhh nimeshtuka, tusijekuwatengenezea ulaji watu hapa!! Utasikia JK anaitisha press release nakuanza kuwataja political failures kwenye hizo nafasi. Hazina tija mkuu!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwa jinsi sekta hii ilivyo na (i)Watumishi wengi, (ii) Migogoro & matatizo mengi, (iii) Umuhimu mkubwa(iv) kusambaa kila eneo la Tanganyika hii, (iv) inavyodharaulika kwa sasa, etc nadhani point yako ina kiasi cha mashiko!
   
 4. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  1. Mesanger Mkuu wa serikali
  2. Secretary Mkuu wa Serikali
  3. Mzinzi mkuu wa Serikali
  4. Etc................................
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jobless mkuu wa serikali
   
 6. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  Mpiga chapa mkuu wa serikali
   
 7. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hiyo namba 3 hiyo, nahisi una hamu na LUPANGO
   
 8. mito

  mito JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,619
  Likes Received: 2,006
  Trophy Points: 280
  wakishaweka hiyo na sisi tutadai dereva mkuu wa serikali
   
 9. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hivi Kamishina wa Elimu au Afisa Elimu Kiongozi sio badala ya hao unaowataja?
   
 10. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  Mi nahisi hapana,ata polisi wapo makamishina na bado mkuu wa polisi yupo
   
 11. kashata

  kashata JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 260
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Mkuu hakuna cheo cha mwalimu bali ualimu ni activities which somebody perform.So ukiajiliwa wizara ya elimu ukiwa na degree cheo chako ni afisa elimu daraja la 2 mwenye diploma ni afisa elimu msaidizi.So hakuna cheo cha mwl mkuu ktk wizara ya elimu bali kuna afisa elimu wa mkoa au wilaya.
   
 12. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Na wewe sasa... Kwa hiyo unataka awepo Kamanda wa Elimu wa Mkoa, wa Taifa n.k? Hakuna hoja hapa
   
 13. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Mpiga picha mkuu wa serikali-Michuzi
   
 14. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mtembezi mkuu wa serikali,"jey key"
   
 15. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Naona unatafuta kupelekwa Mabwepande wewe sio bure
   
Loading...