Mwalimu Mkuu abainika kubaka wanafunzi wake huko Wilayani Kisarawe

Mwalimu Mkuu abainika kubaka wanafunzi wake huko Wilayani Kisarawe

Kanyunyu

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
335
Reaction score
495
Mkuu wa Shule ya Sekondari MASAKI Wilayani Kisarawe Hillary Bwagidy anabaka wanafunzi wa kike kidato cha Nne waliopo kwenye Kambi ya masomo Shuleni hapo, Imebainika

Hillary Bwagidy headmaster wa Shule ya Masaki Sekondari amekuwa akilalamikiwa na wanafunzi wa kike waliopo kwenye Kambi ya masomo kwamba amekuwa akiwaita mmoja mmoja nyumbani kwake nyakati za usiku na kuwalazimisha kuingia chumbani na kuwavua Nguo Kwa lazima na kutimiza haja Zake , wanafunzi kadhaa tayari amefanikiwa kuwabaka na hutoa vitisho vikali.

Ama kweli Siku za mwizi ni arobaini, mapema wiki iliyopita Mkuu wa Shule hiyo alimuita mwanafunzi mwenye imani ya kiislamu nyumbani kwake, akamwamuru Aingie sebuleni, baadae akamwamuru Aingie chumbani na avue Nguo zote amtengenezee Dawa kwakuwa amekuwa akipatwa na homa Mara Kwa Mara, msichana huyo aligoma kutekekeleza matakwa ya Headmaster, alilazimisha bila mafanikio na kumwamuru atoke ila asithubutu kusema.

Mwanafunzi huyo hakuvumilia yaliyomkuta akaenda kuwasimulia wenzake. Wanafunzi wote wa kidato cha nne wakaanzisha mgomo wa kuingia darasani hadi hapo Afisa Elimu wa Wilaya ya kisarawe alipoitwa kusuluhisha Mgogoro huo. Juhudi za Afisa Elimu wilaya haikusaidia Kitu, Headmaster huyo aliendelea kuwatishia wanafunzi na kuwapa adhabu Kali. Leo jumatatu Aprily 30 , 2018 wanafunzi wote wa kidato cha nne wameandamana kwenda ofisi ya kata wakitaka kuonana na Mkuu wa Wilaya ya kisarawe kueleza kero zao wanazopata toka Kwa Headmaster huyo na wako tayari kufika kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli.
 
Duuu hana mke? Watakuwa wameliwa wengi? Wajitokeze wote waliodhalilishwa ili watoe ushahidi
 
inaelekea wanafunzi watamu !!!!mpaka wakuu !!!!!!
 
Huo Sasa upuuzi.
Lakini headmaster kumla mwanafunzi nalo Jambo la kutaka kumuona rais[emoji23][emoji23][emoji23]

Waache mihemko yao, Hilo linamalizwa na polisi tu kikubwa wawe na ushahidi isijekua wamenunuliwa
 
Licha ya uzuri Wa hivi vitoto vya siku hizi vilivyo vizuri ila hapo alibugi.

Pole yake.
 
Mkuu ungeandika headmaster "atuhumiwa" sio abainika maana hii ni stori ya upande moja mno.
 
Uchunguzi ufanyike maana wanafunzi wenyewe wa siku hizi majanga
 
Akijua afisa elimu mkoa?
Ukuu wa shule kushnehi
250000,laki mbili na nusu kwa mwezi hakuna tena.
 
Imekula kwake...ila sasa ushahidi wa ubakaji si hadi manii zikutwe au>??? aah ah enzi zetu tulikua tunawaita mafataki
 
Licha ya uzuri Wa hivi vitoto vya siku hizi vilivyo vizuri ila hapo alibugi.

Pole yake.
Watoto zako hao au wewe huna mtoto wa kike nini anayesoma shule,ukisikia mwanaume anasema vitoto vinavyosoma siku hizi vzuri sanaa ,wewe kama wewe utajisikiaje na ukitazama una mtoto ama watoto wa kike wanasoma shule.???

Tafakari.
 
Watoto zako hao au wewe huna mtoto wa kike nini anayesoma shule,ukisikia mwanaume anasema vitoto vinavyosoma siku hizi vzuri sanaa ,wewe kama wewe utajisikiaje na ukitazama una mtoto ama watoto wa kike wanasoma shule.???

Tafakari.
Ndo maana kuna kitu inaitwa abiria chunga mzigo wako
 
Wanawake wamejaa mtaani mpaka watu wanaenda kukodi wanaume wa kuwagegeda kutoka nchi jirani halafu kuna fala anagegeda madenti...huo ni upuuzi,wapo mpaka wanawake walizalishwa na kutelekezwa na hawana watu wa kuwagegeda how come unaenda kutongoza vitoto kwanza havijajua kuoga wala kupiga miswaki pia,havina siri...,swaini!
 
Tuhuma zingine zinadhalilisha kweli!!! Je TSC haijafanya yao? Au ni shule binafsi?
Je hiyo kambi ya masomo huko Masaki Sec. ya Kisarawe inaendeshwaje?
Never heard before kambi ya masomo kwa kidato cha nne katikati ya muhula.
 
Back
Top Bottom