kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,256
- 15,835
Thread ya kipumbavu mno, umeegemeza lawama kwa walimu ambao katika hilo mchango wao huenda hata usifike 5%Ndo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais.
NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU WANAYOITOA MASHULENI. HIZI TABIA ZA MACHAWA SOURCE NI WALIMU WETU.
TENDENI WEMA WALIMU
View attachment 2979462
Hili jambo nimekuwa nikilisema sana humu, wapuuzi wengine wanadhani walimu ndiyo adui yao, ukiwauliza hata CHADEMA wenyewe wamefanya juhudi kiasi gani ili kuhakikisha wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi wameshindwa! Yeye katika jamii anasimama wapi na amesaidia nini? Ninauhakika hawezi kusema. Waache kuwa kasuku, kila siku walimu walimu upuuzi mtupu.Na tutaendelea kuiba kuraa Kila tupatapo nafasi!..
NB : Kwa akili zako hizo hujui hata Muundo wa Tume ya uchaguzi hujui hata taratibu za upigaji kura !. Umeklilishwa kama kasuku,,, HUWEZI KUSHINDA VITA KAMA ADUI YAKO HUMFAHAMU
Unanitukana mimi au Masud Kipanya aliyechora katuni??Thread ya kipumbavu mno, umeegemeza lawama kwa walimu ambao katika hilo mchango wao huenda hata usifike 5%
1. Mwenye nguvu katika upangaji matokeo ni Mkurugenzi ambaye kachagukiwa na Raisi.
2. Vyombo vya ulinzi (wanajeshi na mapolisi) Wana nguvu kubwa katika kuibiwa kura na kutangaza matokeo feki.
3. Nchi inawatumishi wengi mno, kama shida ni walimu, kada nyingine zinafanya nini?
KUMBUKA katiba yetu ni mbovu, DP WORLD imepigwa vita ila mwisho wa siku wachache wenye maamuzi wamepitisha
Ikiwa DP WORLD ilikuwa vile, unadhani watakubali iondoke CCM kizembe?
Kwa sababu ya walimu!!Kama watanzania ndio mna akili kama hii ya mtoa mada basi hii nchi haipo hapa ilipo kwa bahati mbaya.
Niko upande wa kulia!!!Naomba uniambie hapa wewe uko kwenye kundi gani katika jamii ili niupime mchango wako katika kudai haki zako za msingi.
Kumbe ili ccm itoke madarakani watu wapambane kufuta walimu na wala sio katiba mpya tena!Mwalim ni kada ya kipuuzi sana inatufanya kuendelea kutawaliwa na maccm
Hao vijana wa Kitanzania wenye mtazamo huo ni vichaa haswaa. Kwamba adui wao sasa ni Mwalimu? Aibu naona mimi 🫣.Kumbe ili ccm itoke madarakani watu wapambane kufuta walimu na wala sio katiba mpya tena!
Mimi nimekuuliza uko kundi gani la kuipigania hii nchi! Sijasema upande uliopo. Tayari umeshatujulisha kuhusu hao walimu.Niko upande wa kulia!!!
Kundi la Masud Kipanya na Wadudu wasioumiza.Mimi nimekuuliza uko kundi gani la kuipigania hii nchi! Sijasema upande uliopo. Tayari umeshatujulisha kuhusu hao walimu.
Hivyo nilitaka tu kufahamu tofauti iliyopo kati yako wewe, na wao.
Dah!!Mtangazaji[emoji38] yaani wewe wewe hashimuuuu mhhhh yaani unachukuaaa fedhaaaaa za walipakodi [emoji38] ndioooo ,Sasa nifanyeje mmhhhh ndiooo utaratibu wa nchi [emoji1787] hawa ndio walivyotuleaaa wameamua wenyeweee mmhhhh hashimuuuu weeeeeeeee wewe ,kila tunapoalikwa tunapewa bahashaaaa .......laki moja ,....elfu kumi....[emoji1787] mnapewa wote ?ndioooo woooote maana hawa CCM wanaona Sisi tumekaaanao toka asubuhi hadi jioni ........
Polisi tatizo lao lilisababishwa na Elimu mbovu itolewayo na walimu wa ovyoWakitoka walimu kulaumiwa wafuate mapolisi. Itifaki izingatiwe.
#Lawama sio suluhisho la tatizo
Endelea kujitoa akili...Kwa sababu ya walimu!!
We ni mpuuzi mara kumi, hivi wanaolinda kwa mtutu wa bunduki hizo kula zenu ni walimu?.Mwalim ni kada ya kipuuzi sana inatufanya kuendelea kutawaliwa na maccm
Wamefundishwa shuleni na nani??We ni mpuuzi mara kumi, hivi wanaolinda kwa mtutu wa bunduki hizo kula zenu ni walimu?.
Nchi ya vichekeshoEti kuna mpigakura huko uswekeni amemzawadia Rais buku tano. Hahaa wacha wazungu waje kutalii watushangae