Mwalimu kwa mara nyingine tena

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,175
14,011
Ndo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais.

NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU WANAYOITOA MASHULENI. HIZI TABIA ZA MACHAWA SOURCE NI WALIMU WETU.

TENDENI WEMA WALIMU

FB_IMG_1714710508315.jpg
 
View attachment 2979462
Watumishi wa umma nchi hii ni walimu peke yao? Kuhusu wizi wa kura hili tatizo tumeamua kulihamishia kwa walimu badala ya kudai tume huru ya uchaguzi kwa sababu hata uchaguzi ukasimamiwa na ma C.E.O wa makampuni badala ya walimu ambao mnawageuza punching bag bado haitabadilisha kitu.
 
Ndo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais.

NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU WANAYOITOA MASHULENI. HIZI TABIA ZA MACHAWA SOURCE NI WALIMU WETU.

TENDENI WEMA WALIMU

View attachment 2979462
We kweli hamnazo!

We unaamini Kuna Mwl alitoka huko akachangia form ya urais!!?

Kwani Mwl ndio mwizi wa kura,ndio anatangaza matokeo ya wahusika!!?

Muwe mnatumia akili zenu sawa sawa!!!
 
Walimu wengi kwa sasa ni machawa wa ccm na wanafiki wazuri sana
Nb wengi sio wote wapo wanaojitambua na wanaakili timamu Mungu awalinde

Kwa sasa acha wanyooshwe
 
Wa Tz wengi n wehu na n wajinga badala muungane na chadema kudai tume huru ya uchaguzi mnawasingizia walimu ndo wanaiba kura ivi hii nchi tutafika kweli na anaeandika hivi anajikuta msomi kweli kumbe usenge mtupu
 
Ukiacha kukereketwa na nazi, ntakukereketa mimi mwenyewe
 
Kila mmoja apambane...
Na kwa taarifa zenu tushaandika barua za kwenda kuboresha daftari... ..

Tutawachinja..🤣😂👆
 
Ndo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais.

NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU WANAYOITOA MASHULENI. HIZI TABIA ZA MACHAWA SOURCE NI WALIMU WETU.

TENDENI WEMA WALIMU

View attachment 2979462
Naomba uniambie hapa wewe uko kwenye kundi gani katika jamii ili niupime mchango wako katika kudai haki zako za msingi.
 
Na tutaendelea kuiba kuraa Kila tupatapo nafasi!..
NB : Kwa akili zako hizo hujui hata Muundo wa Tume ya uchaguzi hujui hata taratibu za upigaji kura !. Umeklilishwa kama kasuku,,, HUWEZI KUSHINDA VITA KAMA ADUI YAKO HUMFAHAMU
 
Back
Top Bottom