Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,552
Na huyu mwalimu yupo jfNdo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais.
NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU WANAYOITOA MASHULENI. HIZI TABIA ZA MACHAWA SOURCE NI WALIMU WETU.
TENDENI WEMA WALIMU
View attachment 2979462
Watumishi wa umma nchi hii ni walimu peke yao? Kuhusu wizi wa kura hili tatizo tumeamua kulihamishia kwa walimu badala ya kudai tume huru ya uchaguzi kwa sababu hata uchaguzi ukasimamiwa na ma C.E.O wa makampuni badala ya walimu ambao mnawageuza punching bag bado haitabadilisha kitu.Ndo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais.
NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU WANAYOITOA MASHULENI. HIZI TABIA ZA MACHAWA SOURCE NI WALIMU WETU.
TENDENI WEMA WALIMU
View attachment 2979462
We kweli hamnazo!Ndo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais.
NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU WANAYOITOA MASHULENI. HIZI TABIA ZA MACHAWA SOURCE NI WALIMU WETU.
TENDENI WEMA WALIMU
View attachment 2979462
HahahaNdo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais.
NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU WANAYOITOA MASHULENI. HIZI TABIA ZA MACHAWA SOURCE NI WALIMU WETU.
TENDENI WEMA WALIMU
View attachment 2979462
Walimu mmechachamaa kweli kweli.πππππ
HahahaWalimu mmechachamaa kweli kweli.
Jf ni Forum ya Jamii. Walimu, manesi na hawa watu wa ovyo POLICCMNa huyu mwalimu yupo jf
Saaafi!!! Habari za MEI MOSI MWALIMU??[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
Ukiacha kukereketwa na nazi, ntakukereketa mimi mwenyeweWa Tz wengi n wehu na n wajinga badala muungane na chadema kudai tume huru ya uchaguzi mnawasingizia walimu ndo wanaiba kura ivi hii nchi tutafika kweli na anaeandika hivi anajikuta msomi kweli kumbe usenge mtupu
Naomba uniambie hapa wewe uko kwenye kundi gani katika jamii ili niupime mchango wako katika kudai haki zako za msingi.Ndo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais.
NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU WANAYOITOA MASHULENI. HIZI TABIA ZA MACHAWA SOURCE NI WALIMU WETU.
TENDENI WEMA WALIMU
View attachment 2979462
Salama.....Saaafi!!! Habari za MEI MOSI MWALIMU??