Mwalimu kubadirishana nae;

Mwalimu kubadirishana nae;

lyosiii

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
84
Reaction score
2
Mimi ni mwalimu wa secondary nahitaji mwalimu wa kubadirishana nae, me nipo manispaa ya bukoba yeye awe manispaa ya songea, sumbawanga, iringa, kibaha(pwani) na dodoma, ndugu no yangu ni 0759444928
 
Yaani wewe ni mwalimu halafu unaandika "kubadirisha"!!!!!

Hao wanafunzi unaowafundisha watakuaje sasa?
 
Yaani mwalimu mzima hujui kwamba jina la mji ni proper noun na hivyo lazima majina ya miji yaanze na capital letters. wewe sio mwalimu ila bull shit. Laana we. Kwa uwezo wako huo labda ubadilishane na watu wa DRC
 
...dah wakuu muacheni "big results now" anataka kuhama. Oyaaa ticha kuna uzi wenu wa kubadilishana utafute unaeza kuta wapo watu tayari,kama vipi tubadilishane na mimi,njoo mwanakwerekwe nauza kioski afu mi nije kuwa ticha, teh teh...
 
Natafuta mwalimu Wa kubadirishana nae mie niko rombo wilaya nnazotaman kwenda ni lushoto na Hasa wilaya zilizopo pwani hata morogoro si mbaya
 
Natafuta mwalimu Wa kubadirishana nae mie niko rombo wilaya nnazotaman kwenda ni lushoto na Hasa wilaya zilizopo pwani hata morogoro si mbaya
kubadirishana? mwenzako wamemsema kwa kosa hilohilo,zoezi la vyeti feki lina maana kubwa sana.
 
Yaani wewe ni mwalimu halafu unaandika "kubadirisha"!!!!!

Hao wanafunzi unaowafundisha watakuaje sasa?
Bro Eiyer long time no see you mate,wapi ulikuwa tunamiss michango yako ya busara Mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom