Mwalimu kubadilishana Kituo cha Kazi

Elia zakaria

Member
Dec 1, 2014
8
0
Mimi mwalimu s/m nipo mkoa wa Arusha naomba kubadilisha kituo cha kaz na mwalimu yeyote aliye ktk mikoa ya iringa na njombe. Nibipu kupitia 0755543978/0683111225
 
Tangazoo Tangazo

Njoo Tanga jiji nije Moro manispaa.
Idara ni sec.nichek PM tuanze mchakato 0713142568
 
Mimi mwalimu s/m nipo mkoa wa Arusha naomba kubadilisha kituo cha kaz na mwalimu yeyote aliye ktk mikoa ya iringa na njombe. Nibipu kupitia 0755543978/0683111225
Vipi kama njombe ndanindani kule vijijini kabisa kule. Interior kabisa usweken Yani ndani kbs Interior kule? Uko tayari?
 
njoo mwanza jiji(nyamagana) nije arusha jiji mwl sekondari uliye tayari ni pm
 
Back
Top Bottom