MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
NHC wameanza kuuza nyumba za mradi wao wa Kawe (711) satellite city,kama una mshahara wa chini ya milioni moja hata usihangaike kupambana eti ili huishi hapo labda kama utapata zali la kupeleka mzigo China au South (yaani uwe punda.
Ebu mfano tuchukue kundi kubwa la watumishi wa umma yaani walimu, na tuaachane na madaraja yao ya mishahara na tuseme mtu awe analipwa laki tano (500,000) japo kuna baadhi wanapata kidogo zaidi ya hapo na wengine chini ya hapo.
Katika website yao nyumba ya bei ndogo ni sh 391,651,197 na bei ya juu ni sh690,312,943 kwa sisi wa mshahara wa 500,000 itabidi tulipe 500,000 kwa mwezi kwa muda wa miaka 65 au 500,000 kwa mwezi kwa muda wa miaka 115 ili niweze kuishi pale Kawe na hapo endapo shirika limeamua kutukopesha hizo nyumba.
By any means siwezi kuishi hiyo miaka 115 basi hilo deni itabidi niwaachie wanangu wapendwa kama urithi na wao wasipokuwa makini itabidi wawaachie wajukuu zangu kama urithi kutoka kwa babu yao.
Sasa najiuliza hivi ili ni shirika kweli la nyumba lataifa au ni shirika la nyumba la mafisadi
Ebu mfano tuchukue kundi kubwa la watumishi wa umma yaani walimu, na tuaachane na madaraja yao ya mishahara na tuseme mtu awe analipwa laki tano (500,000) japo kuna baadhi wanapata kidogo zaidi ya hapo na wengine chini ya hapo.
Katika website yao nyumba ya bei ndogo ni sh 391,651,197 na bei ya juu ni sh690,312,943 kwa sisi wa mshahara wa 500,000 itabidi tulipe 500,000 kwa mwezi kwa muda wa miaka 65 au 500,000 kwa mwezi kwa muda wa miaka 115 ili niweze kuishi pale Kawe na hapo endapo shirika limeamua kutukopesha hizo nyumba.
By any means siwezi kuishi hiyo miaka 115 basi hilo deni itabidi niwaachie wanangu wapendwa kama urithi na wao wasipokuwa makini itabidi wawaachie wajukuu zangu kama urithi kutoka kwa babu yao.
Sasa najiuliza hivi ili ni shirika kweli la nyumba la
Last edited by a moderator: