GE2025 Mwalimu: CCM wameua zao la karafuu Pemba na kusababisha kudhoofisha msingi wa kiuchumi wa wakazi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,231
“Mungu alikuwa na kusudi lake kuipatia Pemba karafuu. Na kusudi hilo lilionekana miaka ya 70 na 80, utajiri wa watu wa Pemba ulivyotokana na karafuu. CCM walipoona watu wa Pemba wanafaidi na kujitegemea kiuchumi, wakaanza kulifisidi zao la karafuu,” aMEsema Mwalimu.

Amedai kuwa hatua hiyo ya CCM imesababisha kudhoofisha msingi wa kiuchumi wa wakazi wa Pemba, ambao kwa miongo kadhaa walitegemea karafuu kama chanzo kikuu cha mapato na ustawi wa jamii.

Yupo kumbe huyu? Hivi CHAUMMA wanaendelea na mikutano yao au pumzi ishakata? Anyways, alichosema ni sahihi kabisa japo naye ni walewale, anajaribu kutafuta huruma ya wapemba.
 
“Mungu alikuwa na kusudi lake kuipatia Pemba karafuu. Na kusudi hilo lilionekana miaka ya 70 na 80, utajiri wa watu wa Pemba ulivyotokana na karafuu. CCM walipoona watu wa Pemba wanafaidi na kujitegemea kiuchumi, wakaanza kulifisidi zao la karafuu,” aMEsema Mwalimu.

Amedai kuwa hatua hiyo ya CCM imesababisha kudhoofisha msingi wa kiuchumi wa wakazi wa Pemba, ambao kwa miongo kadhaa walitegemea karafuu kama chanzo kikuu cha mapato na ustawi wa jamii.

Epuka matapeli
 
Back
Top Bottom