Mwalimu auawa baada ya kuzini na mke wa askof

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
[h=3][/h]

[h=3][/h]
​

Kakamega, Kenya
KUNDI la watu wenye hasira huko Kakamega lilimpiga hadi kumwua mwalimu ambaye alibambwa akifanya mapenzi na mke wa askofu.

Askofu huyo alikuwa akiendesha ibada ya mazishi kijijini Tomboo, Jimbo la Malava.

Mkuu wa Wilaya ya Kakamega Kaskazini, Gideon Ombongi , alisema mwalimu huyo na mke wa askofu walitoroka kwenye mazishi na kuingia nyumbani kwa askofu huyo ambapo ni mita chache tu kutoka mazishini.

Baada ya kukamilisha ibada ya mazishi, askofu aliingiwa wasiwasi na kuamua kumtafuta mkewe alipokwenda. Alipofika nyumbani kwake aliwakuta wawili hao wakifanya mapenzi jikoni.

Mapigano yalitokea kati ya askofu na mwalimu huyo ambapo mwanamke alikimbia.

Mkuu wa Polisi wa Kakamega Kaskazini, Justus Kitetu, alisema mapigano hayo yalivutia watu ambao walijaa kwenye nyumba ya askofu.

“Askofu aliwaambia wanakijiji kilichokuwa kimetokea nao wakampiga mwalimu na kumwua,” alisema na kuongeza kwamba askofu amekatwa kwa uchunguzi. Mke wa askofu naye alikamatwa lakini aliachiliwa

MWALIMU AUAWA BAADA YA KUZINI NA MKE WA ASKOFU - MPEKUZI HURU
 
Askofu wa Kanisa gani hilo? Bila shaka anazijua tabia za mke wake kuwa n chafu ndio maana alipata wasiwasi alipoacha kumuona mkewe hapi mazishini.
 
Askofu hakutumia busara kumpiga mgoni vitabu vya dini vinakataza.
 
Why wake za watu wanatoka sana? Tatizo ni nini?

Wanabadili ladha mdau moja yachosha, ila baadhi ya wachungaji nao hawajatulia labda mama mchungaji alikuwa analipizia kupunguza machungu. Ila nimeyapenda hayo majina ya eneo husika KAKAMEGA, TOMBOO na MALAVA nadhani yanatia hamasa.
 
Hakumbaka ... wa kuadhibiwa (lakini siyo kuuawa au kupigwa) ni mwanamke.
 
Hapo wametumia sharia. safi sana naona mnakataa mahakama ya kadhi huku sharia yake mnaitumia
 
[h=3][/h]

[h=3][/h]
​

Kakamega, Kenya
KUNDI la watu wenye hasira huko Kakamega lilimpiga hadi kumwua mwalimu ambaye alibambwa akifanya mapenzi na mke wa askofu.

Askofu huyo alikuwa akiendesha ibada ya mazishi kijijini Tomboo, Jimbo la Malava.

Mkuu wa Wilaya ya Kakamega Kaskazini, Gideon Ombongi , alisema mwalimu huyo na mke wa askofu walitoroka kwenye mazishi na kuingia nyumbani kwa askofu huyo ambapo ni mita chache tu kutoka mazishini.

Baada ya kukamilisha ibada ya mazishi, askofu aliingiwa wasiwasi na kuamua kumtafuta mkewe alipokwenda. Alipofika nyumbani kwake aliwakuta wawili hao wakifanya mapenzi jikoni.

Mapigano yalitokea kati ya askofu na mwalimu huyo ambapo mwanamke alikimbia.

Mkuu wa Polisi wa Kakamega Kaskazini, Justus Kitetu, alisema mapigano hayo yalivutia watu ambao walijaa kwenye nyumba ya askofu.

“Askofu aliwaambia wanakijiji kilichokuwa kimetokea nao wakampiga mwalimu na kumwua,” alisema na kuongeza kwamba askofu amekatwa kwa uchunguzi. Mke wa askofu naye alikamatwa lakini aliachiliwa

MWALIMU AUAWA BAADA YA KUZINI NA MKE WA ASKOFU - MPEKUZI HURU

pcha haieleweki
 
Back
Top Bottom