Mwalimu anaweza kuomba Jkt apate ukakamavu?

Hi mwajiriwa anaweza kuomba kwenda Jkt akapate ukakamavu?
Inawezekana mwalimu,unaandika barua kwa mkuu wa kambu,Tena ukiwa mtumishi Ni fasta tu unachukuliwa,utaenda kwa mjibu wa Sheria ,hivyo waweza subiri wakati wanafunzi wa kidato na sita wanajiunga nawewe unajichomeka hapo,Ila Mimi nakushauri utafute pesa, Mimi mwenyewe nimepita huko, lakini bila pesa yote ni ubatili
 
Sorry lakini,ninyi ni miongoni mwa wale hupita mitaani wakidai "usinichezee mimi nimepita JKT/mgambo??
 
Back
Top Bottom