mwalimu anahitajika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwalimu anahitajika.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mayenga, Jan 16, 2012.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,758
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Nina madogo wawili wanasoma shule ya msingi,ningependa nipate mwalimu wa shule ya msingi au sekondari anayeweza kuwafundishia nyumbani baada ya muda wa kazi.Masomo yanayohitajika kufundishwa.Lugha,Sayansi na Hesabu.Kutokana na uhalisia wa madogo hawa,ni vema mwalimu huyu awe ni wa kike (binti ambaye hajaolewa),na ambaye anajiamini kuweza kufundisha.Mshahara ni negotiable.Niko Sinza.Ambaye yuko tayari ani PM
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  we unataka demu co mwalimu, masharti gani hayo
   
 3. K

  KIDUKARI New Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ACHA swaga za kike得很可
   
 4. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 944
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Huo ni udomo zege.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,947
  Trophy Points: 280
  du mapapaa mna mbinu nyingi siku hizi
   
 6. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,758
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  sijaona kosa langu,vigezo na masharti ilikuwa vyema kuzingatiwa.
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nikuulize swali je wadogo zako ni wakike? Na wapo darasa la ngapi?
   
 8. H

  HByabatto jr Senior Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo ni maujanja ya kutaka kula tunda.
   
 9. Tarime

  Tarime Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Umeona eeh jamaa hajui kutongoza nn?
   
 10. B

  Baba Dorcas Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fataki.....! Why a gel only??? Una lako baya.
   
Loading...