ni kweli chama kinayumba kwa sababu miiko iliyowekwa chini ya uongozi Wa Mwalimu imepuuzwa na kutupiliwa mbali.Mwl alisema ilituendelee twahitaji aridhi;watu;siasa safi; na uongozi bora. Anglia sasa mambo yote hayo yamekumbwa na virusi vya rushwa;ufisadi; na ubinafsi mambo ambayo yalikuwa ni adui Wa Tanu/ ccm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.