Mwalimu ajichinja koromeo hadi kufa

Mwalimu ajichinja koromeo hadi kufa

Watu wenye matatizo ya akili wanaongezeka.
Jamii inapaswa kukabiliana si kukejeli
 
Mmh.., mliangalia kwenye CCTV camera mkaona kwamba amejichinja na sio kachinjwa?, au aliacha ujumbe wa kuandika wenye mwandiko wake uliodhibitishwa kwamba amejiua?
 
Amejifanyia ukatili wa kinyama sana.
Labda hawa ndiyo wale walio tahiriwa bila ganzi
 
Mshaambiwa hakumkuta mkewe aliporudi home!… nadhani ni sababu kuu
Amechoka kusikia kila siku saa tano mke wake anakuwa analiwa na msela mwingine, ameona bora apishe zoezi hilo la kila saa tano...

Kibaya zaidi unakuta mke anampiga mikwara kwa hamtoshelezi na amuache aendelee na huyo bodaboda.
 
Mwl huyo inaonekana alikuw akisumbuliwa na ugonjwa wa akili, ugonjwa huu unasumbua baadhi ya watu na mtu anaweza akadhani yupo sawa tu, ila ukichunguza kwa undani utagundua kuwa ni mgonjwa sana, mfano, mtu aliye na sonona au mfadhaiko kupita kiasi kwa sababu ya jambo fulani anaweza fanya tendo la mauji kama hili, jinsi zote me na ke zinaweza fanya hili ingawa kwa wanawake wanaweza fikiria mara mbili kabla ya kujiua, kwa wanaume ni tofauti kwani wao wakiamua mara moja hujitoa uhai. Tujitahidi kuwasaidia watu wenye matatizo haya, ukiona mtu anajitenga na wenzake huku hapendi kabisa kuwa karibu na wenzake yupo kimya kimya tu iwe kazini, nyumbani au popote pale tuwasaidie watu hao. Unaweza washauri wamwone mnasihi au mtoa ushauri nasaha au daktari wa magonjwa ya akili. Pia walio katika ndoa msiwe chanzo cha kuwafanya wenzi wenu wapoteze furaha na amani ya moyo, hii itapelekea mtu kufanya maamuzi mabaya kwa sababu tu maisha yake na wewe anayaona ni taabu na kaisha gharamika sana kuwa na wewe kwa kila kitu halafu wewe unakuwa kikwazo kwake.
Natahadharisha, watu wenye magonjwa ya akili wao huona wapo sawa tu, ni wakali na wabishi inahitajika busara kuwasaidia.
 
Back
Top Bottom