Mwalimu ahukumiwa miaka 30 jela kwa kufanya mapenzi na binti wa kidato cha tano

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,973
Mwalimu George Ngalu wa Shule ya Sekondari Mahiwa iliyoko mkoani Lindi, Ijumaa ya tarehe 14/8 amehukumiwa kifungo cha miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kujihusisha na mahusiano ya kingono na mwanafunzi wake wa kidato cha tano HGK 2019/20.

Mwalimu huyo alikamatwa mwezi Februari mwaka huu na walimu wenzake majira ya saa 10 jioni akiwa ndani na mwanafunzi huyo huku mwanafunzi akikutwa chumbani kwa mwalimu huku akiwa mtupu na alipopelekwa Hospitali kupimwa alibainika kuwa alifanya tendo la ngono na mwanafunzi alikiri.

Mwanafunzi alishafukuzwa shule.
 
Wanaume mkoje lkini, kabinti ka form 5 kweli hata njia haijafunguka vizuri mnaingizaje dushe?
Kweli mnakosa hata wanao jiuza huko mmalize haja zenu? Hapo ilulu wapo wa elfu mbili mbili tu
Wewe unafanya kazi mahakamani mheshimiwa jaji. Ukifanya kazi na hao mabinti wanaochipukia ni hatari mno.

Wanajua wanaume tuna tamaa ya asili tu inaoperate subconsciously na bado bhanakutega bhenyewe na ukionja tu wanachonga mzinga.
 
Serikali limit ya under age ipunguze atleast miaka 16. Hawa wanawake wakizidi miaka 17 wameshajelewa la sivyo mtatufunga saana
Hapo labda kama binti hajavuka 18 ndiyo msala ila kama ni over 18 hamna kesi hapo.

Jamaa yangu aliwahi kufungwa kwa kesi ya kuzaa na dent wa form 5 ambaye alikuwa amevuka miaka 18. Alikatiwa rufaa akachomoka kwani alifungwa kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi.

Sheria inamtafsiri mwanafunzi ni wa primary school (elimu ya lazima) ila zaidi ya hapo hamna kesi labda awe under 18 wakukamate kwenye kubaka.
 
Mwalimu George Ngalu wa Shule ya Sekondari Mahiwa iliyoko mkoani Lindi, Ijumaa ya tarehe 14/8 amehukumiwa kifungo cha miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kujihusisha na mahusiano ya kingono na mwanafunzi wake wa kidato cha tano HGK 2019/20.

Mwalimu huyo alikamatwa mwezi Februari mwaka huu na walimu wenzake majira ya saa 10 jioni akiwa ndani na mwanafunzi huyo huku mwanafunzi akikutwa chumbani kwa mwalimu huku akiwa mtupu na alipopelekwa Hospitali kupimwa alibainika kuwa alifanya tendo la ngono na mwanafunzi alikiri.

Mwanafunzi alishafukuzwa shule.
Mkuu kwani kidato cha tano si tayari Ana above 18?
 
Back
Top Bottom