Mwalim nyerere degree ya maendeleo ya jamii wanaanza lini?

Mwalim nyerere degree ya maendeleo ya jamii wanaanza lini?

Superleta

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
575
Reaction score
667
Nimeona kwenye website yao kwamba upcoming course yao itakua bachelor degree in community development kwa anayejua hii inaanza lini?

Halafu pia wanayo gender and development vipi hiyo course nikiisoma si sawa tu na hiyo ya CD?

Maana nina diploma ya maendeleo ya jamii
 
Vijana Community Development itawapeleka wapi? someni vitu vya maana
 
Back
Top Bottom