Mwaliko wa ubarikio

Preta Windhoek ni hasara bibie usisahau January Akanganyila B atatakiwa kurejea shule school fees za siku hizi si mchezo wa kitoto ha ha ha.

hi hi hi.....pesa imekusanywa mwaka mzima wewe.....hebu niache nikajinywee Windhoek mie......
 
Preta Windhoek ni hasara bibie usisahau January Akanganyila B atatakiwa kurejea shule school fees za siku hizi si mchezo wa kitoto ha ha ha.

Ndugu utanifanya nipunguze idadi wa vinywaji kwa kila mualikwa! Ila kuna ukweli rafiki yangu!
 
Mkuu Tutor B hongera kwa kumlea mtoto na vile vile akamjua Mungu, big up.
 
Last edited by a moderator:
Asante, Villa Park napo vipi? Asante saana, ila mmhhh, tunavyoponda si ndio wata tu mabweupande?!!
 
Ahsante; kazi ya kulea mtoto ni kwa kusaidiana na mama yake! Hongera hizi nitazifikisha kwa Mama watoto jioniiiiiiii wakati watoto wamelalaaaaa.

Khaaaa haya bwana.:shut-mouth:
 
Bujibuji is a man of tooo many colours, usidhanie ni kijani tu kuna wakati mwingine anakuwa wa njano na wakati mwingine ni blue

Mmmh wonders shall never end. Bt rangi yake halisi ni bLaCk....
 
Last edited by a moderator:
Umekuja vyema; bora umesema mapema utatumia nini; huku Mwanza tunapendelea bia inaitwa Senetor;
Vinywaji ni vya kutosha; karibuni sana!

senator beer ilitaka kunitoa roho nikiwa dodoma
 
senator beer ilitaka kunitoa roho nikiwa dodoma

Teh teh! .....
Tatizo ni kunywa bia bila kula! Huku Mwanza, nyama / kitimoto ni bei ndogo, samaki wengi - hivyo hata tukilianzisha mapema tunaenda nalo hadi kieleweke.
 
duh! Ningekuwa cjachoshwa na hii mimba ningetokelezea pande hzo, nimetamanijee kumjua hata mmoja wa wa hum jf!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…