Mwaliko wa Pasaka

Mr Rocky upo kama kilo ngapi na mie mnibajetia mlo wangu, ila nyama hua nakula ya kitimoto only
 
Last edited by a moderator:
duh!..vijana na ujana
Karibu R-CHUGGA chali'angu.

Maisha yangu ya kibachela tutapika bwabwa tule mpaka tuvue mashati. Then twende tukapige mitungi na tukishakuwa bwax tukatafute midudu ya kupiga mikasi. Au vipi mwana?
 
Mimi wala cna shida ya kukualika, mana najua pasaka hii waenda kula kwa nani, karibu sana mweshimiwa
 
Nami ngoja niandae kitani safiiii ikiambatana na vitendea kazi vifuatavyo:Ndizi kwa ajili ubwabwa na kujazia sehemu za wazi tumboni.Kipande cha samaki kwa ajili ugali.Pilipili kwa mabadiliko yoyote.Nzi kwa ajili ya kuonesha mwelekeo.
Safi sana. Vitendea kaz muhimu kuwepo
 
Karibu R-CHUGGA chali'angu.Maisha yangu ya kibachela tutapika bwabwa tule mpaka tuvue mashati. Then twende tukapige mitungi na tukishakuwa bwax tukatafute midudu ya kupiga mikasi. Au vipi mwana?
Mwana mi ntakuja kupga menu tu.
 
Kuna mtu kaninong'oneza hapa, kwamba ktk hivyo vigezo ulivyoanisha, kipo kimoja umekisahau, kwamba mualikaji asijisumbue ku'extravangancy ya kununua pilipili, unakuja na zako.
Lazma viwepo hvyo.
 
Ninakukaribisha IRINGA..

Tutaanzia ULANZI.. then menu.. Baada ya hapo tunaenda pasha makoo STEREO kuna mchemsho mzuri, tukitoka hapo twajongea MIAMI kuna mbuzi choma, hatutakaa sana hapo kwani +255 inabamba tutenda pale kula mvinyo.. Then tunaenda SHOOTERS mpaka saa 5.. Mwisho ni kuruka TWISTERS..
Karibu.
 
Karibu R-CHUGGA chali'angu.

Maisha yangu ya kibachela tutapika bwabwa tule mpaka tuvue mashati. Then twende tukapige mitungi na tukishakuwa bwax tukatafute midudu ya kupiga mikasi. Au vipi mwana?

mkuu ngoja nipige ramli kwanza naweza kuunga tela
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…