Mwakyembe, tunataka watuhumiwa wote wa ufisadi washtakiwe

Ndugu wanajamvi;

Ni wakati umefika ukweli utuweke huru kabsaa. Mahakama ya mafisadi ilikuwepo kwenye agenda na kuhubiriwa kila kona ya nchi kwenye ilani ya CCM na utekelezwaji wake utakavokua.

Sitaki niongee mengi sanaaa lakini waziri wa sheria hawezi kutupepesa macho tena waziwazi bila aibu kuwa hiyoo mahakama imekosa kesi za kusikiliza huu ni uwendawazimu ambao ata kichaa uwezi kumdanganya hivi!

Maswali yangu kwa MWAKYEMBE:

1. je ni ufisadi upi anauzungumzia ni baada ya tarehe 25 october 2015 au kabla ya hapo! Tunamtaka hatoke nje hadharani atupe majibu!

2. Je kama ni baada ya october 2015 mbona kuna kesi zimetokea za kuhujumu uchumi kama Bossi wa NIDA, TPA , TRA yule aliyekuwa anachakachua mamilioni kwa dakika! Au hawa si watanzania? au mafisadi wana sura!! Atoke nje hatupe majibu hadharani!!

3:Kama ufisadi anaouzungumzia ni kabla na baada ya uchaguzi, Mbona MWAKYEMBE umesikika kwenye viuga tofauti hadi kwenye media ukihubiri ufisadi wa LOWASHA nashangaa umeufyata kana kwamba hujawahi kusikia ata jina la EL. Janja janja hatutaki toka nje utupe majibu hadharani!!

4:Nikimnukuu aliyekuwa msemaji wa ccm kabla hajateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa njombe Mhe.OLESENDEKA amesikika akisema ata CHADEMA wahangaike vipi! Aliyekuwa mgombea wao kupitia UKAWA ni mteja mzuri kwenye mahakama ya mafisadi kwahyo ajiandae psychologically hili limetamkwa kwenye vuguvugu la UKUTA kama mtakumbuka!!! Tunamtaka Olesendeka hatoke nje hadharani atupe majibu!!!

5:Kama mnachukulia kuwa ufisadi ulianza baada ya 25 october 2015 na mahakama itaanza kazi kwa watuhumiwa wa kuanzia baada ya hapo? Naomba majibu ya kuridhisha mnaonaje ata wanafunzi waliotumia mikopo ya Elimu ya juu wasamehewe mara moja maana sisi wote ni watanzania tena bora ata hawa waliokuwa wanafanya kazi serikalini na kupiga dili za tumbo hao wanafunzi kuna wengine hadi mda huu hawajaariwa wanasota mtaani!! Naomba majibu ya kutosha MWAKYEMBE!!!

yangu kwa leo ni hayo tuuh nisipopewa majibu ya kutosha ndani ya masaa 48 nitaanzisha operation ya "SINA IMANI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO" kwa sababu mimi nilimpigia mgombea wa CCM kura kutokana na alivyokuwa anajipambanua kupambana na ufisadi na alivopiga hatua hadi kuanzisha mahakama ya mafisadi kwa hela za kodi za wanyonge iweje ikose kazi tena wakati watuhumiwa wapo mtaani wanadunda? Katika hili ukweli utaniweka huru na mwenye akili kamili atajua nimezungumzia nini!!!

Ni wakati umefika kuacha siasa nyepesi kwenye masuala magumu katika taifa hili tuwe na utu na uzalendo katika taifa letu.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli katika taifa hili.
mkuu, yaani unataka panya amle panya mwenziwe? yawezekana kweli?
 
Simon Mato kuna siku nilikuambia kwenye siasa umezijua wakati wa haya mafuriko ya Lowassa na Magufuli 2015, ila ukamwaga povu la hatari. Sasa ndio utaijua ccm ni nini na hivyo viwanda ulivyoambiwa wenzio wanaanza kubadili maana na kusema eti viwanda ni kama cherehani, blenda nk. Watu waliahidi kupambana na mafisadi kwani ndio ilikuwa chukizo la wananchi na kilichowapa ushindi ni tume na sio kura za watu.

Kwa kukusaidia hiyo mahakama ni kiini macho kwani washitakiwa wakubwa wa hiyo mahakama ni hao waliojifanya kuianzisha. Nakuhakikishia ikianza kazi kama itatenda haki basi tutaingia kwenye uchaguzi mpya kabla ya 2020. Wenzako wameanzisha mahakama ya mafisadi kwa ajili ya wapinzani, wamekuta hawazidi wawili na ni toka hukohuko ccm. Baada ya kuuona ukweli wa wateja wa mahakama wakaita ni makaburi. Sasa ww unataka wafukue makaburi watakayoshindwa kufukia? Napenda ufahamu huko ulipo ili ufit inabidi uwe mnafiki, kinyume na hapo ujue umeingia choo cha kike.
Unajua mimi neno mahakama ya mafisadi ndiyo iliyosababisha kumuunga mhe. JPM kwa nguvu zote kipindi cha uchaguzi, na leo ndo najifunza na kujua Mwanasiasa ni mtu wa aina gani.

Enzi za JK rushwa ilitamalaki kila kona japokuwa maisha yalikuwa yanaeleweka. Naomba ujue mimi kabla ya uchaguzi nilikuwa team Slaa lakini baada za propaganda za hapa na pale na mizengwe kufanyika kumpata mgombea urais wa upinzani tena ambaye ata mtoto mdogo anajua ni fisadi ilibidi nibadili mtazamo wangu na kumuunga mgombea ambaye alikuwa amung'unyi maneno kwenye suala la ufisadi.

Sasa iweje leo mahakama ikoswe wateja wakati wateja wapo mtaani wanadunda na kula maisha!!hapo ndipo nataka majibu ya kutosha
 
Nasikia kuna kiwango cha fedha ili kesi ikidhi kuingia kwenye mahakama ya mafisadi labda hapo ndo pana tatizo walioitwa mafisadi wote hawajakidhi viwango. Nawaza tu
Ndo Mwakyembe atoke nje hadharani atuambie kuwa kuna kiasi fulani ukichukua ndo unashtakiwa au la!!
Au kama mafisadi wana sura zao pia tujue ukweli kuhusu hili! Watu wameichezea hii nchi halafu leo Mwakyembe anasema hakuna mteja yampasa ajipime kwenye uwaziri wake!!
 
Ndugu wanajamvi;

Ni wakati umefika ukweli utuweke huru kabsaa. Mahakama ya mafisadi ilikuwepo kwenye agenda na kuhubiriwa kila kona ya nchi kwenye ilani ya CCM na utekelezwaji wake utakavokua.

Sitaki niongee mengi sanaaa lakini waziri wa sheria hawezi kutupepesa macho tena waziwazi bila aibu kuwa hiyoo mahakama imekosa kesi za kusikiliza huu ni uwendawazimu ambao ata kichaa uwezi kumdanganya hivi!

Maswali yangu kwa MWAKYEMBE:

1. je ni ufisadi upi anauzungumzia ni baada ya tarehe 25 october 2015 au kabla ya hapo! Tunamtaka hatoke nje hadharani atupe majibu!

2. Je kama ni baada ya october 2015 mbona kuna kesi zimetokea za kuhujumu uchumi kama Bossi wa NIDA, TPA , TRA yule aliyekuwa anachakachua mamilioni kwa dakika! Au hawa si watanzania? au mafisadi wana sura!! Atoke nje hatupe majibu hadharani!!

3:Kama ufisadi anaouzungumzia ni kabla na baada ya uchaguzi, Mbona MWAKYEMBE umesikika kwenye viuga tofauti hadi kwenye media ukihubiri ufisadi wa LOWASHA nashangaa umeufyata kana kwamba hujawahi kusikia ata jina la EL. Janja janja hatutaki toka nje utupe majibu hadharani!!

4:Nikimnukuu aliyekuwa msemaji wa ccm kabla hajateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa njombe Mhe.OLESENDEKA amesikika akisema ata CHADEMA wahangaike vipi! Aliyekuwa mgombea wao kupitia UKAWA ni mteja mzuri kwenye mahakama ya mafisadi kwahyo ajiandae psychologically hili limetamkwa kwenye vuguvugu la UKUTA kama mtakumbuka!!! Tunamtaka Olesendeka hatoke nje hadharani atupe majibu!!!

5:Kama mnachukulia kuwa ufisadi ulianza baada ya 25 october 2015 na mahakama itaanza kazi kwa watuhumiwa wa kuanzia baada ya hapo? Naomba majibu ya kuridhisha mnaonaje ata wanafunzi waliotumia mikopo ya Elimu ya juu wasamehewe mara moja maana sisi wote ni watanzania tena bora ata hawa waliokuwa wanafanya kazi serikalini na kupiga dili za tumbo hao wanafunzi kuna wengine hadi mda huu hawajaariwa wanasota mtaani!! Naomba majibu ya kutosha MWAKYEMBE!!!

yangu kwa leo ni hayo tuuh nisipopewa majibu ya kutosha ndani ya masaa 48 nitaanzisha operation ya "SINA IMANI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO" kwa sababu mimi nilimpigia mgombea wa CCM kura kutokana na alivyokuwa anajipambanua kupambana na ufisadi na alivopiga hatua hadi kuanzisha mahakama ya mafisadi kwa hela za kodi za wanyonge iweje ikose kazi tena wakati watuhumiwa wapo mtaani wanadunda? Katika hili ukweli utaniweka huru na mwenye akili kamili atajua nimezungumzia nini!!!

Ni wakati umefika kuacha siasa nyepesi kwenye masuala magumu katika taifa hili tuwe na utu na uzalendo katika taifa letu.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli katika taifa hili.

Matamko ya kihemuko na roho mbaya na bila kutumia akili
 
Ilikuwa gia ya kuingia Ikulu wakizan wabongo hatutakumbuka gia ili..sasa wajibu maswali kama wapo kweli..
 
Unajua mimi neno mahakama ya mafisadi ndiyo iliyosababisha kumuunga mhe. JPM kwa nguvu zote kipindi cha uchaguzi, na leo ndo najifunza na kujua Mwanasiasa ni mtu wa aina gani.

Enzi za JK rushwa ilitamalaki kila kona japokuwa maisha yalikuwa yanaeleweka. Naomba ujue mimi kabla ya uchaguzi nilikuwa team Slaa lakini baada za propaganda za hapa na pale na mizengwe kufanyika kumpata mgombea urais wa upinzani tena ambaye ata mtoto mdogo anajua ni fisadi ilibidi nibadili mtazamo wangu na kumuunga mgombea ambaye alikuwa amung'unyi maneno kwenye suala la ufisadi.

Sasa iweje leo mahakama ikoswe wateja wakati wateja wapo mtaani wanadunda na kula maisha!!hapo ndipo nataka majibu ya kutosha

Kwa taarifa yako sasa, hata hii mada yako ya kuhojihoji mahakama ya mifasadi hao walioianzisha ndio wanataka hii mitandao ifungwe kwa ajili hiyo. Ndio maana wakati ule unaanzisha mada kibao za kusifia watu tulikuwa tunakuchora tu. Kumbuka huu ni mwaka wa kwanza tu, na uzoefu unaonyesha kila kiongozi anapoingia katika awamu yake ya kwanza mikwara kibao, subiri miaka michache kabla ya kutoka madaraka ndio utaijua rangi yake vizuri. Utashangaa mambo kibao yatakuwa yanafanyika kwa siri wakati alipoingia madarakani madoido kibao mara kila kitu hadharani. Hiyo promo ya mahakama ya mifasadi ni sawa na zamani ulikuwa unaonyeshwa simu maeneo ya kariakoo, ukiipenda inafungwa kanyaboya, ukienda nyumbani unajikuta na mche wa sabuni. Kwenye karata ni ule mchezo wa cheusi chekundu, hapo umeliwa.
 
Ilikuwa gia ya kuingia Ikulu wakizan wabongo hatutakumbuka gia ili..sasa wajibu maswali kama wapo kweli..
Hizi ndo aina za kampeni ambazo zinatakiwa ziishe tuangalie na wenzetu wanakampeni vipii. Hizi siasa uchwara zishapitwa na wakati
 
3:Kama ufisadi anaouzungumzia ni kabla na baada ya uchaguzi, Mbona MWAKYEMBE umesikika kwenye viuga tofauti hadi kwenye media ukihubiri ufisadi wa LOWASHA nashangaa umeufyata kana kwamba hujawahi kusikia ata jina la EL. Janja janja hatutaki toka nje utupe majibu hadharani!!

4:Nikimnukuu aliyekuwa msemaji wa ccm kabla hajateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa njombe Mhe.OLESENDEKA amesikika akisema ata CHADEMA wahangaike vipi! Aliyekuwa mgombea wao kupitia UKAWA ni mteja mzuri kwenye mahakama ya mafisadi kwahyo ajiandae psychologically hili limetamkwa kwenye vuguvugu la UKUTA kama mtakumbuka!!! Tunamtaka Olesendeka hatoke nje hadharani atupe majibu!!!
Wimbo huu ni mtamu masikioni mwa CCM, CDM walikwisha tua na kukana hilo zigo. Ungetegemea Mzee huyu sasa ndio atapelekwa hapo mahakama ya mafisadi lakini bado CCM wanataka waendelee kuimba huu wimbo wakisema CDM ndi wanaomlinda na kumsafisha huyo bwana. Wakimpeleka huko mawili yanaweza kutokea-akachomoa na kuwageuzia kibao wakaingia wao-hivyo wanaona inalipa zaidi kuiba huu wimbo nje na sindani ya mahakama. Time will tell na kuna 2020.
 
Wakati wengine mnafikiri kwa kutumia ubongo, mnasahau kuwa nchi hii inaendeshwa na akili ya Magufuli.
 
kuna watu walivyo sikia mahakama ya mafisadi wali rukaruka kwa furaha wakidhani ni wale mafisadi walioaminishwa miaa yote kua ndo watakua wa kwanza kushitakiwa kumbe hawakuelewa kua hatafukua makaburi ya zamani.

ni kama ambavyo watanzania wasivyo elewa hata lugha yao ya kiswahili kua walivyoambiwa tanzania ya viwanda wakadhani silikali ndo itajenga na wakaanza kushangiliaaa,kumbe hawa kuelewa kua asilani abadani wa shabani wa ramadhani silikari haita husika na hizo mambo za kujenga,jukumu lao ni kutoa mapori tuu na kuwaagiza tanesco kupeleka umeme fastaa.
 
Ndo Mwakyembe atoke nje hadharani atuambie kuwa kuna kiasi fulani ukichukua ndo unashtakiwa au la!!
Au kama mafisadi wana sura zao pia tujue ukweli kuhusu hili! Watu wameichezea hii nchi halafu leo Mwakyembe anasema hakuna mteja yampasa ajipime kwenye uwaziri wake!!
Mwakyembe ameshasema mahakama ya mafisadi kukosa kesi ndio mafanikio makubwa kwa sababu watu sasa wanaogopa na kwamba target ilikuwa kuanzia bilioni moja ila sasa watu wanachukua rushwa za milioni 400 hivyo watajitahidi kiwango kipungue tena

Haki ya Mungu hii nchi ila wacha nisiongee
 
Aanze na lowasa vinginevyo 2020 msije mchafua tena
Kabsaa mkuu ningetegemea frontline ya washtakiwa wa makosa ya ufisadi jina la lowasa lingetinga kotini, sasa ikitokea hawajamshtaki mpaka 2020 mimi sitawaelewa tenaaa na sitowasikia tena kuhusu dhana ya ufisadi.
 
kuna watu walivyo sikia mahakama ya mafisadi wali rukaruka kwa furaha wakidhani ni wale mafisadi walioaminishwa miaa yote kua ndo watakua wa kwanza kushitakiwa kumbe hawakuelewa kua hatafukua makaburi ya zamani.

ni kama ambavyo watanzania wasivyo elewa hata lugha yao ya kiswahili kua walivyoambiwa tanzania ya viwanda wakadhani silikali ndo itajenga na wakaanza kushangiliaaa,kumbe hawa kuelewa kua asilani abadani wa shabani wa ramadhani silikari haita husika na hizo mambo za kujenga,jukumu lao ni kutoa mapori tuu na kuwaagiza tanesco kupeleka umeme fastaa.
Pasipo shaka na mimi ni miongoni mwa wale waliounga mkono kwa nguvu zote jitihada za kuanzishwa kwa mahamaka ya mafisadi! Na mpaka leo naamini nchi hii kuna watu wanastaili kuishi segerea kama hakutokuwa na ubaguzi wa aina yoyote ile haki ikitendeka
 
Wakati wengine mnafikiri kwa kutumia ubongo, mnasahau kuwa nchi hii inaendeshwa na akili ya Magufuli.
Mkuu weka akiba ya maneno, hapo pia ikatokea mamvi anapandishwa kizimbani stori zitabadilika, utasikia kwavile kahamia ukawa
Ndugu wanajamvi;

Ni wakati umefika ukweli utuweke huru kabsaa. Mahakama ya mafisadi ilikuwepo kwenye agenda na kuhubiriwa kila kona ya nchi kwenye ilani ya CCM na utekelezwaji wake utakavokua.

Sitaki niongee mengi sanaaa lakini waziri wa sheria hawezi kutupepesa macho tena waziwazi bila aibu kuwa hiyoo mahakama imekosa kesi za kusikiliza huu ni uwendawazimu ambao ata kichaa uwezi kumdanganya hivi!

Maswali yangu kwa MWAKYEMBE:

1. je ni ufisadi upi anauzungumzia ni baada ya tarehe 25 october 2015 au kabla ya hapo! Tunamtaka hatoke nje hadharani atupe majibu!

2. Je kama ni baada ya october 2015 mbona kuna kesi zimetokea za kuhujumu uchumi kama Bossi wa NIDA, TPA , TRA yule aliyekuwa anachakachua mamilioni kwa dakika! Au hawa si watanzania? au mafisadi wana sura!! Atoke nje hatupe majibu hadharani!!

3:Kama ufisadi anaouzungumzia ni kabla na baada ya uchaguzi, Mbona MWAKYEMBE umesikika kwenye viuga tofauti hadi kwenye media ukihubiri ufisadi wa LOWASHA nashangaa umeufyata kana kwamba hujawahi kusikia ata jina la EL. Janja janja hatutaki toka nje utupe majibu hadharani!!

4:Nikimnukuu aliyekuwa msemaji wa ccm kabla hajateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa njombe Mhe.OLESENDEKA amesikika akisema ata CHADEMA wahangaike vipi! Aliyekuwa mgombea wao kupitia UKAWA ni mteja mzuri kwenye mahakama ya mafisadi kwahyo ajiandae psychologically hili limetamkwa kwenye vuguvugu la UKUTA kama mtakumbuka!!! Tunamtaka Olesendeka hatoke nje hadharani atupe majibu!!!

5:Kama mnachukulia kuwa ufisadi ulianza baada ya 25 october 2015 na mahakama itaanza kazi kwa watuhumiwa wa kuanzia baada ya hapo? Naomba majibu ya kuridhisha mnaonaje ata wanafunzi waliotumia mikopo ya Elimu ya juu wasamehewe mara moja maana sisi wote ni watanzania tena bora ata hawa waliokuwa wanafanya kazi serikalini na kupiga dili za tumbo hao wanafunzi kuna wengine hadi mda huu hawajaariwa wanasota mtaani!! Naomba majibu ya kutosha MWAKYEMBE!!!

yangu kwa leo ni hayo tuuh nisipopewa majibu ya kutosha ndani ya masaa 48 nitaanzisha operation ya "SINA IMANI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO" kwa sababu mimi nilimpigia mgombea wa CCM kura kutokana na alivyokuwa anajipambanua kupambana na ufisadi na alivopiga hatua hadi kuanzisha mahakama ya mafisadi kwa hela za kodi za wanyonge iweje ikose kazi tena wakati watuhumiwa wapo mtaani wanadunda? Katika hili ukweli utaniweka huru na mwenye akili kamili atajua nimezungumzia nini!!!

Ni wakati umefika kuacha siasa nyepesi kwenye masuala magumu katika taifa hili tuwe na utu na uzalendo katika taifa letu.

Ni wako kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli katika taifa hili.

Yeye mwenyewe anatakiwa atumbuliwe. Kwani ile ishu ya mabehewa below standard imekwisha?
 
Back
Top Bottom