Mwakyembe: Sikusinzia...


Hilo ndilo swali nililokuwa najiuliza. Kama alitangaza na akaja na VX yake kwenye treni basi matatizo yote yaliishia pale. Watendaji ndo chanzo na service ya train pia ni tatizo so si ajabu maofisa walibehave vizuri tu.
 
Kama mtanzania mzalendo, kama waziri mwenye dhamana wa hii sekta,mimi namuunga na nitaendelea kumuunga mkono kama hizi safari za kutumia public transport zitafanyika mara kwa mara bila kufanya hivyo na vyombo vya habari ile akakutane na uhalisia then aje kutuambia amekutana na nini.Isije ikawa ameambukizwa na Dr Magufuli kwa kufanya kazi na media wakati wakiwa wizara moja to get cheap attention while matatizo ya watanzania yako pale pale.Hatutaki siasa kwenye mambo muhimu yanayotugusa sisi wote.
 
ni sawa kupita na kuona lakini hili ni jambo moja upande mwingine kufanyia kazi yale yaliyo onekana maana nataka kusema kuwa talking is cheap
 

Achana na Mwakyembe, wewe binafsi hauelewi matatizo wanayokabiriana nayo wasifiri wanaotumia treni? haya, ufahamu wa matatizo hayo unaweza kukusaidi vipi kulikwamua shirika la reli kutoka kwenye mning'inio lililokuwa nao.

Kwa mfano, kuna tatizo la wafanyakazi kutokulipwa mishahara yao, unatatuaje tatizo hili kwa kusafiri kwa treni? miundombinu ya reli imezeeka na haiwezi kuimili safari za mara kwa mara na shehena nzito, unatatuaje na hili kwa kusafiri? kuna tatizo la wafanyakazi kurusha ticketi, unalitatuaje hili kwa kusafiri na treni?
 
Kimsingi ni uongozi dhaifu kutaka kuhusika na kila linalo tokea kwenye wizara;kwa mfano eti magufuli asafiri kwa basi ili kujua udhaifu wa barabara!Uongozi mzuri ni pale mkuu anapojenga uwezo kusimamia watendaji walio chini yake ili mambo yaende!!!!
Hatuhitaji waziri wa mambo ya ndani kwa mfano,kukamata wezi na kuwapeleka polisi ili tuseme ni kiongozi bora!
Kwa hili simuungi mkono mwakyembe hata kidogo.
 

mkuu nikumbushe shirika lipi la umma Mwakyembe alifanya.
 

Utoto kutumia gogo kwenda Dom au ni upi mkuu? Mbona ni usafiri ambao wanapaswa kuutumia wote hao?
 

wengi wameshasahau usanii aliowafanyia kwenye ile riport ya richmond hata hivi majuzi....
 
Grow up. that Guy did not travel, he was sending quite a different message.

wajaribu kusoma hata hayo majibu aliyompa VUTA-NKUVUTE...kisha wayatafakari in three dimension....watajua....
 
Last edited by a moderator:
Utoto kutumia gogo kwenda Dom au ni upi mkuu? Mbona ni usafiri ambao wanapaswa kuutumia wote hao?

mwakyembe hana tofauti na wale jamaa wanaolalamika kuwa vijana wengi hawana ajira na hili ni bomu litalipuka wakati huo huo watu hao majumbani mwao wamepaki magari zaid ya 6 kwa matumizi yao binafsi...kumbe wangeweza kuwa na viwanda vidogo vidogo wanavyomiliki wao wangeweza kutoa ajira kwa wantanzia wengi vijana huku akimiliki gari moja au mbili.. .....

na pia huyu mwakyembe hana tofauti na yule kiongozi aliyekuwa anasimama majukwaani na kuwapiga wenzake vita kuwa ni mafisadi na wezi wakubwa...wakati huo huo nyumbani kwake ameunganisha maji kwa njia ya wizi na halipi bili kwa zaidi ya miaka 5....viongozi wasanii hawafai....
 
ngoja tuone nini kitafuata kwani huyu jamaa naona kaanza kufuata nyayo za magufuli sasa...
 
umefanya vizuri waziri, tunasubiri maboresho. tukiona kimya tutajua ile ilikuwa ni trip tu, ulipenda kubadilisha njia ya usafiri. kazi njema baba
 

haya, ila wenye maroli ukae nao vizuri sijui watakufanya nini ukiboresha reli. Kama vipi waite wawe sehemu ya umiliki wa reli unaweza ishia ongea mh waziri.
 
Ingekuwa kulazimishwa kila waziri lazima a-experience hali halisi ya wananchi wa kawaida kwenye goods/services ambazo wizara zao zinatoa, kuna wizara zisingekuwa na mawaziri
 
Sina Shaka kyembe ni jembe la kuigwa hapa nchini kimaadili kama enzi za mwalimu-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…