Sangarara, na wewe unaongea (unaandika ?) tu kwa vile una hiyo fursa ya kuandika ama kuongea. Bila maneno meeengi nakuuliza kuwa: Unamfaham yule jamaa aliyekuwa akifanya experiment yake kwa kuwasha torch mchana kweupe? Je, aligunduwa nini? Je, alikuwa kichaa au? Ukiweza kujibu hayo masuali utamuunga mkono Dr Mwakyembe.
Huo ni mtihani mgumu sana.
Ni kweli mkuu....tumeona unafiki wa watendaji wengi hasa pale maofisa wa juu wanapofanya ziara sehemu zao. Bora Mh mrema wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani aliwahi kufanya ziara ya kushtukiza kituo kikuu cha mabasi ya mikoani pale wananchi walipolalamika kuhusu nauli kupandishwa hasa kwenda mikoa ya kaskazini. Mh. Magufuli naye aliwahi kufanya pale kivukoni na matoteo tukayaona. Mh. Mwakyembe nae angefanya bila kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari nadhani matokeo ya utafiti wake yangekuwa bora sana kuliko aliyoyapata sasaTRL walijua kuwa mkuu anasafiri?
Maana lazima wabehave na kurekebisha mambo kama wanajua the big boss yumo ndani ya mchuma.
Angekata ticket kwa kutumia jina la mtu mwingine, halafu akasema anaangalia tu treni then anazama mchumani bila maafisa kujua.
Pamoja na upofu wangu wa fikra bado ninaamini kwa 100% kuwa Mh Dr Mwakyembe ana sababu ya msingi kufanya hivyo. Kuwa kiongozi katika serikali na mashirika mengi ya umma na kwa muda mrefu haitoshi kukupatia ufahamu wa kudumu wa matatizo ya kila sekta iliyopo nchini. Bado kuna nafasi ya kujifunza kwa vitendo. Usikae tu ofisini na kungoja kuletewa habari na wasaidizi wako. Wakati mwingine uende kwenye "site" ukajionee mwenyewe mambo ...Acha upofu wa fikra wewe. Mtu yeyote ambaye analazimika kufanya ziara ama experiements kama unavyosema wewe ili kubaini matatizo yanayowakabili wananchi wake hafai kupewa nafasi yoyote ile ya kisiasa. na kwa msingi huu Mwakyembe anakalia hiyo ofisi kinyume na matarajio ya kisiasa.
Huyo mtu na experiment yake mimi siwafahamu, labda unipe taarifa zake zaidi, hivyo mpaka sasa mfano wake hauna uhusiano wowote ni utoto aliofanya mwakyembe.
Pamoja na upofu wangu wa fikra bado ninaamini kwa 100% kuwa Mh Dr Mwakyembe ana sababu ya msingi kufanya hivyo. Kuwa kiongozi katika serikali na mashirika mengi ya umma na kwa muda mrefu haitoshi kukupatia ufahamu wa kudumu wa matatizo ya kila sekta iliyopo nchini. Bado kuna nafasi ya kujifunza kwa vitendo. Usikae tu ofisini na kungoja kuletewa habari na wasaidizi wako. Wakati mwingine uende kwenye "site" ukajionee mwenyewe mambo ...
Matatizo ya wa-Tz wote karibu yanafanana, Kyera, Dodoma hadi Kigoma. Lakini bado kuna nafasi ya kujifunza, kuchunguza kwa vitendo na kutowa majibu stahiki.
Naomba umngoje kumlaumu pale atakapotoa majibu yasiyo na tija baada ya uchunguzi wake. Usilaumu hatua ya uchunguzi. Ungoje kulaumu matokeo ya hatua zisizofaa atakazochukua.
Nimezungumza kama kipofu tu, lakini nikifanya uchunguzi wa mambo hata mimi nitaweza kutowa majibu sahihi. Asante
Hata kama aliwahi kupanda mara 21 hapo kabla haimzuwii kupanda tena sasa hivi. Matatizo ya jana siyo ya leo. Hata kama matatizo ya jana na leo yakifanana, yatatofautiana unene. Mh Dr Mwakyembe anayo sababu ya msingi kupanda train ili kujifunza zaidi uhalisia wa matatizo ya usafiri huo.Ina maana Dr. hakuwahi kupanada tren mpaka juzi ndio kapanda?
ili kufanya uchunguzi hatari tupu
wenye malori unadhan wanataka kusikia abt rail???thubutuuuuu
Nadhani umesahau kuwa tunazungumza juu ya kitendo cha Mh Dr Mwakyembe kupanda treni. Usichanganye na Mh Dr Kikwete (M/K CCM) na wala usichanganye na Mh EN Lowasa (Mb na W/Mkuu mstaafu). Pamoja na kwamba hawa wote wapo chama kimoja cha CCM lakini, wana tofauti katika hatua wanazochukuwa kutatua matatizo ya watu.Nakushukuru, nasubiri kuona matokeo. Ila kumbuka ninasukumwa na uzoefu wa vijisafari kama hivi kutokuwa na tija yoyote hasa katika kada ya viongozi wetu wa sasa, kuanzia kwa mheshimiwa Rais. Huyu amekuwa akizunguka wizara na idara nyingi za serikali matokeo yake amesababisha inefficience kubwa zaidi katika usimamizi wa serikali yetu.
Alikuwapo Lowasa, alifanya ziara nyingi na kutoa maelekezo na maamuzi ya papo kwa papo ambayo hatuoni mwangwi wake ukirindima mpaka sasa. Lowasa alikuwa akifuta leseni za mainginia kutokana na ujenzi mbovu wa maghorofa akiwa site, ujenzi wa maghorofa yenye viwangu vya chini ndio umeshamiri mara dufu sasa.
Huyu Mwakyembe huyu, majuzi kasema hajaenda Bandarini sababu bado anawapa muda wa kujipanga, how many times mr president went there? not less than three times since 2005, nini kimetokea? Nini Mwakyembe Jamani.
Both,Mwakyembe and CCM have to go kama kweli tunataka kuanza kuamini mategemeo ya ufanisi baada ya vijisafari vya namna hii kufanyika.
Nitasubiri Matokeo. Nashukuru.
[/QUOTE][QUOTE
Maisha ya hao wananchi hao yanatofauti gani na yale ya wananchi wa Jimboni kwake Kyela? Majuzi alisema amepanda daladala kutoka mwenge kwenda tegeta na anadai kwamba tatizo pekee aliloliona na gharama kubwa ya nauli, matatizo ya wanaotumia usafiri wa daladala yanatofauti gani na wale wanaotumia treni?
Ni tatizo gani la usafiri wa treni mwakyembe amejifunza kupitia safari hiyo? alienda kuona kama kweli injini inazima zima? haya sasa siku hiyo haikuzima, kwa hiyo ametoka na picha gani hapo? kwamba habari za kuzima zima kwa injini za treni na hujuma za kishenzi zinazofanywa za kung'oa mataruma ya reli ni za uongo?
Give me a break.
Nadhani umesahau kuwa tunazungumza juu ya kitendo cha Mh Dr Mwakyembe kupanda treni. Usichanganye na Mh Dr Kikwete (M/K CCM) na wala usichanganye na Mh EN Lowasa (Mb na W/Mkuu mstaafu). Pamoja na kwamba hawa wote wapo chama kimoja cha CCM lakini, wana tofauti katika hatua wanazochukuwa kutatua matatizo ya watu.
Kwa vile umekubali kusubiri matokeo, na mimi naunga mstari huo. Sasa tuko pamoja