VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Waziri wa Uchunguzi Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa hakupata kusinzia njia nzima,wakati akisafiri kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kwa treni, kwakuwa anafanya utafiti wake.Waziri Mwakyembe amesema kuwa hakuweza kusinzia kwakuwa alihitaji kujiridhisha na hali ya usafiri wa treni na pia kujionea hali halisi ya wananchi wa Tanzania sehemu ambapo treni linapita.'Nimejifunza mengi sana;ya Wizara yangu na Wizara nyinginezo' alisema Dr.Mwakyembe. 'Nitatumia niliyoyaona kwa maslahi ya Taifa' aliongeza.
Chanzo: Mimi mwenyewe niliyeambatana naye kwenda Dodoma kwa treni...
Ile sumu bado inamsumbua huyu.

Imemchukua muda gani kufika Dodoma?
Ningetaka sana kusikia mambo ya msingi aliyogundua. Usafiri wa Treni ni muhimu kushinda maelezo kama tunataka kukumboa hili taifa. Barabara zinaharibika vibaya kutokana na malori mazito.

kuku mlipiga njiani?
wenye malori unadhan wanataka kusikia abt rail???thubutuuuuu
Inakuingia Akilini mwako kwamba Mtu ambaye amekuwa kiongozi katika serikali na mashirika yetu ya UMA kwa muda mrefu Kama mwakyembe analazimika kufanya safari ya namna hii ili kujifunza au kujionea mwenyewe ama matatizo ya usafiri wa treni au ya wananchi huko treni inakopita kama anavyoropoka huyu jamaa.kwa nini?
Waziri wa Uchunguzi Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa hakupata kusinzia njia nzima,wakati akisafiri kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kwa treni, kwakuwa anafanya utafiti wake.Waziri Mwakyembe amesema kuwa hakuweza kusinzia kwakuwa alihitaji kujiridhisha na hali ya usafiri wa treni na pia kujionea hali halisi ya wananchi wa Tanzania sehemu ambapo treni linapita.'Nimejifunza mengi sana;ya Wizara yangu na Wizara nyinginezo' alisema Dr.Mwakyembe. 'Nitatumia niliyoyaona kwa maslahi ya Taifa' aliongeza.
Chanzo: Mimi mwenyewe niliyeambatana naye kwenda Dodoma kwa treni...
Imemchukua muda gani kufika Dodoma?
Ningetaka sana kusikia mambo ya msingi aliyogundua. Usafiri wa Treni ni muhimu kushinda maelezo kama tunataka kukumboa hili taifa. Barabara zinaharibika vibaya kutokana na malori mazito.
Samahani Mkuu,ni Wizara ya Uchukuzi.It was just a slip of the keyboard.MODS tafadhali nirekebishieni...Ni wizara mpya nini?? maana zumbukuku hakawii kulala na kuamka na kuanzisha wizara mpya..
Sangarara, na wewe unaongea (unaandika ?) tu kwa vile una hiyo fursa ya kuandika ama kuongea. Bila maneno meeengi nakuuliza kuwa: Unamfaham yule jamaa aliyekuwa akifanya experiment yake kwa kuwasha torch mchana kweupe? Je, aligunduwa nini? Je, alikuwa kichaa au? Ukiweza kujibu hayo masuali utamuunga mkono Dr Mwakyembe.Inakuingia Akilini mwako kwamba Mtu ambaye amekuwa kiongozi katika serikali na mashirika yetu ya UMA kwa muda mrefu Kama mwakyembe analazimika kufanya safari ya namna hii ili kujifunza au kujionea mwenyewe ama matatizo ya usafiri wa treni au ya wananchi huko treni inakopita kama anavyoropoka huyu jamaa.
Maisha ya hao wananchi hao yanatofauti gani na yale ya wananchi wa Jimboni kwake Kyela? Majuzi alisema amepanda daladala kutoka mwenge kwenda tegeta na anadai kwamba tatizo pekee aliloliona na gharama kubwa ya nauli, matatizo ya wanaotumia usafiri wa daladala yanatofauti gani na wale wanaotumia treni?
Ni tatizo gani la usafiri wa treni mwakyembe amejifunza kupitia safari hiyo? alienda kuona kama kweli injini inazima zima? haya sasa siku hiyo haikuzima, kwa hiyo ametoka na picha gani hapo? kwamba habari za kuzima zima kwa injini za treni na hujuma za kishenzi zinazofanywa za kung'oa mataruma ya reli ni za uongo?
Give me a break.
kuku singida mdau,,,,,,