So r u saying u listen to liberals while there is only Republicans and democrats ....stop wasting our time sometimesHivi jf hakuna members ambao siyo ccm au ukawa? kwa nini mtu akitoa mtazamo wake mnambatiza ufipa au lumumba? we should be fair guys, it is not right to judge someone because of his/her concepts
Kwamba misifaz camp!!??Magufuli pia mr dully sykes it will b soo soon atatoa a new album
. Ingefaha sana kumwita Mwakyembe na kumwambia aje kutengua katazo lake mwenyewe, kuliko ile njia iliyotumika kumwadhibu.
Mwakyembe alikosea,ilitakiwa uamuzi aupitishie kwa Makonda ndio atangaze,nakuhakikishia nchi nzima ingekuwa heka heka vyeti vya kuzaliwa!Inawezekana Mh Mwakyembe alikosea kuhusu amri yake ya kutaka watu wafunge ndoa wakiwa na vyeti vya kuzaliwa, ila sijajua utendaji wa baraza la mawaziri na iwapo waziri husika anaweza kuweka katazo kubwa kama hilo bila kumwarifu bosi wake. Yamkini inawezekana ila kwa approach iliyotumika sasa kutengua katazo hilo hakika ilikuwa ya kumwaibisha sana Mwakyembe, kama ni kulinda heshima inatakiwa Mwakyembe ahachie ngazi. Ingefaha sana kumwita Mwakyembe na kumwambia aje kutengua katazo lake mwenyewe, kuliko ile njia iliyotumika kumwadhibu.
Kwanza imemshushia heshima kwa umma, pia wapinzani wake watapata mlango wa kumshambulia sana.
Njia iliyotumika haikuwa sahihi.
Mkabidhi mama yako ndio umuulize amepona au bado mgonjwa wakati mama yako anatapikaHivi Mwakyembe amepona kweli?
Hajadhalilishwa ila tumejithibitishia kuwa "hajapona". Ni vema akarudia kuvaa soksi mkononi tu!Inawezekana Mh Mwakyembe alikosea kuhusu amri yake ya kutaka watu wafunge ndoa wakiwa na vyeti vya kuzaliwa, ila sijajua utendaji wa baraza la mawaziri na iwapo waziri husika anaweza kuweka katazo kubwa kama hilo bila kumwarifu bosi wake. Yamkini inawezekana ila kwa approach iliyotumika sasa kutengua katazo hilo hakika ilikuwa ya kumwaibisha sana Mwakyembe, kama ni kulinda heshima inatakiwa Mwakyembe ahachie ngazi. Ingefaha sana kumwita Mwakyembe na kumwambia aje kutengua katazo lake mwenyewe, kuliko ile njia iliyotumika kumwadhibu.
Kwanza imemshushia heshima kwa umma, pia wapinzani wake watapata mlango wa kumshambulia sana.
Njia iliyotumika haikuwa sahihi.
Mimi niliposoma utenguzi wa amri ya mwakinyeembe, swali la kwanza lililonijia akilini ni je kama amri hii ingekuwa imetolewa na Bashite kama alivyozoea kwa wananchi wa Dar anaowaita wananchi wake, mukulu angechukua hatua kama hii?Siyo kweli kaka, kama Mwakyembe alikosea bado kiongozi mkuu kama baba na mlezi alitakiwa amwite na kumwambia akafute mwenyewe kauli yake kuliko kutumia medias kumponda na kumuhoji kama yeye ana cheti cha kuzaliwa.
huyo dish limeyumba tangia apakwe mkorogoEt Waziri wa sheria huh!!!!!
Labda sheria za ndizi na mchele kyela
Dawa ya moto ni___________________Huwezi kuamua jambo kubwa vile na tena kuweka mpaka tarehe ya kuanza kutumika bila kushauriana na wengine. Kwani Wizara yake ndo inatoa vyeti? Kwa kuwa hakuconsult, ilistahili apigwe za uso na yeye bila kumconsult. Kastahili treament aliyopata.
sababu za mh raisi kupiga marufuku alichokiagiz waziri ziko wazi huitaji kuwa na PHD kuzielewa.kudhalilika ama kutodhalilika atapima mhusika.Inawezekana Mh Mwakyembe alikosea kuhusu amri yake ya kutaka watu wafunge ndoa wakiwa na vyeti vya kuzaliwa, ila sijajua utendaji wa baraza la mawaziri na iwapo waziri husika anaweza kuweka katazo kubwa kama hilo bila kumwarifu bosi wake. Yamkini inawezekana ila kwa approach iliyotumika sasa kutengua katazo hilo hakika ilikuwa ya kumwaibisha sana Mwakyembe, kama ni kulinda heshima inatakiwa Mwakyembe ahachie ngazi. Ingefaha sana kumwita Mwakyembe na kumwambia aje kutengua katazo lake mwenyewe, kuliko ile njia iliyotumika kumwadhibu.
Kwanza imemshushia heshima kwa umma, pia wapinzani wake watapata mlango wa kumshambulia sana.
Njia iliyotumika haikuwa sahihi.