Hivi mda wote hujajua akili zao anazo Bashite.Vijana wa CCM sijui akili zenu huwa mmezikalia?
Aliambiwa ajipime kwa kujiuzulu au ahojiwe na bunge kwa maana ya kujitetea tayari kamati ilikuwa na mashahidi 43 nje ya bunge wanasubiri kutoa ushahidi dhidi yake lkn yeye na genge lake wakaamua kujiuzulu huko sio kukataa kuhojiwa? Kwanini asikubali kuhojiwa ajitetee? Au alipima maji na kuyaona ni marefu?Wewe ndo ulimwita akataa au? Kwasababu Mwakyembe anasema akuona sababu ya kumwiita...sasa alikoitwa akataa ni wapi huko?