Mwakyembe awaita Diamond na Ali Kiba Dodoma kumaliza bifu

Mwakyembe nae kapewa
Kupewa tu uwazr anajifanya
Mbongo flave
 
Nadhani angewaita Makonda na Clouds au Vyombo vya Habari vyote vya Tanzania ili aweze kuondoa tofauti zao ningemwona wa maana mno ila kwa upuuzi huo anaotarajia kuufanya sasa GENTAMYCINE natangaza rasmi kutoitambua Shahada ya Uzamivu ( Philosophy of Doctorate / PhD ) ya Bwana Harrison Mwakyembe na pia sasa nitaanza kuwatilia shaka wale wote wenye PhD zao hapa nchini Tanzania.
Kituu
 
Kwani siku hizi mganga anamfuata mwenye shida? kwani kina Diamond na Kiba wana Bifu? Mashabiki wao ndio wana bifu wao hawana tatizo lolote, by the way inamaana waziri hajui kuwa bifu la hao viumbe ni la kibiashara zaidi? Hata kama mkubwa anatakiwa kumwamrisha mdogo but NOT TO THAT EXTENT.
Kituu
 
Back
Top Bottom