Mwakyembe awaita Diamond na Ali Kiba Dodoma kumaliza bifu

Nadhani angewaita Makonda na Clouds au Vyombo vya Habari vyote vya Tanzania ili aweze kuondoa tofauti zao ningemwona wa maana mno ila kwa upuuzi huo anaotarajia kuufanya sasa GENTAMYCINE natangaza rasmi kutoitambua Shahada ya Uzamivu ( Philosophy of Doctorate / PhD ) ya Bwana Harrison Mwakyembe na pia sasa nitaanza kuwatilia shaka wale wote wenye PhD zao hapa nchini Tanzania.
 
Mwakyembe amesema kupitia yeye ni lazima Diamond na Ali Kiba wakae pamoja kwa kuwa yeye ni baba yao, amemuagiza mkurugenzi anayehusika awapelekee ujumbe huo


tasnia ya sheria alijichanganya labda hii ataweza tumpe mda, maana kazi yake itakua kukutana na akina harmorapa na akina sepenga:D:D:D:D
 
Kama ana nia kweli awapatanishe RAMA DEE na MAWINGU!
Au A Chilla na QS.
 
Tunataka amwajibishe Bashite kwa kuvamia clouds na bunduki. Anatuletea habari hazina kichwa wala miguu.
 
Lazima tujue bifu za wasanii ni sehem ya umaarufu wao, kwa hiyo bora tuache mambo yaende yalivyo., kwasababu inaongeza efficiency ya hao wawili
 
angejua bifu ndio linawafanya waendelee kuzungumziwa hebu awaache...
 
Alinza na vyeti vya kuzaliwa kabla ya ndoa. Sasa kawa mupatanishi wa wenye bifu huyu mzee kituko kweli hana kazi za maana za kufanya.
 
Kiba usikubali haki usikubali bifu liikiishaa tu mziki wako utaishaa kabisaaa
 
Back
Top Bottom