Mwakyembe awabane Azam Media watoe video ya Lyonvs Kagera Sugar kama kipengele cha Mkataba na TFF

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
upload_2017-4-18_13-31-49.jpeg

Mheshimiwa ; Waziri wa michezo Mwakyembe ; TFF wameingia mkataba na AZAM Media , ambao Yanga waliugomea mpaka leo. Mkataba huo ni kuonyesha mechi za Ligi kuu na ku sponsor kwa kutoa Pesa; Cha kusikitisha mpaka leo ; Azam Media wamegoma kuonyesha CD waliyorekodi kutokana na mkataba wa TFF NA AZAM.


Waziri mwenye dhamana wana Kagera ambao wametumia ghrama kubwa kuweka timu Kambini zaidii ya milioni 23. kwa mchezo dhidi ya simba ikizingatiwa kagera anasaka nafasi ya 3; Ili apate zawadi ya mfadhili.

Tunaomba ashinikize AZAM MEDIA waonyeshe mechi hiyo ; kama RECORDED kuondoa utata. Na iwe wazi nchi nzima tuione

Inatia shaka Mmiliki wa Azam media ni shabiki mkubwa wa simba; Tunazidi kupata utata na ukakaksi.

Bring back our point,



wadau wa Kagera sugar

BUKOBA
 
Azam hawakuonyesha hiyo mechi
ILIKUWA RECODEDI KAMA MATAKWA YA MKATABA.
TUNAOMBA KIPENGELE CHA MAKATABA KINACHOKATAZA AZAM ASIONYESHE MECHI YA LYON NA KAGERA.

NINI MAAN YA MAKATABA WA AZAM NA TFF??????

MBONA NYOSO ALIUKUMIWA KWA CLIP.

BRING BACK OUR POINT PLEASE.
NAFASI YA PILI AU YA TATU NI MUHIMU KWA KAGERA SUGAR. IKIZINGATIWA TUMETUMIA GHARAMA KUBWA USAJILI HUUU. KUOGOPA KUSHUKA DARAJA KAMA TULIVYOPONEA CHUPUCHUPU.

GHARAMA YA USAJILI TUNATEGEMEA KUILEJESHA KUPITIA NAFASI HIZO MBILI
 
Yes, hapo umekumbusha jambo muhimu! Ili kumaliza utata iletwe recoded video ya mechi hiyo! Na kama mkataba unawalazimisha kurusha/kurekodi basi lazima walifanya hivyo tu!
 
Back
Top Bottom