Mwakyembe atimiza ahadi kwa kumwaga mapesa

muheza2007

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2010
Posts
483
Reaction score
771
Hawa wabunge wa CCM ni majanga makubwa.

Ebu angalieni hapa Mwakyembe mbunge wa Kyela katuma wasaidizi kwenda kwenye kijij kimoja Kyela na kuwapa pesa eti anatimiza ahadi zake za kufufua maji.Pembeni mwenyekiti wa CCM wa wilaya anashuhudia na kushangilia.

Kama kuna tatizo la maji kwanii asiweke mafundi na badala yake anatoa pesa cash? Ukawa, hili jimbo tulichukue halina mtu.
 
Attachments

  • Mapesa.jpg
    Mapesa.jpg
    75.9 KB · Views: 3,264
Nimependa tu kila mmoja ananyoosha mkono wa salam lkn machoyapo kwenye bulunguti.
 
Hawa wabunge wa CCM ni majanga makubwa.

Ebu angalieni hapa Mwakyembe mbunge wa Kyela katuma wasaidizi kwenda kwenye kijij kimoja Kyela na kuwapa pesa eti anatimiza ahadi zake za kufufua maji.Pembeni mwenyekiti wa CCM wa wilaya anashuhudia na kushangilia.

Kama kuna tatizo la maji kwanii asiweke mafundi na badala yake anatoa pesa cash? Ukawa, hili jimbo tulichukue halina mtu.
Hahahahaah ... yaleyale tunayoyaongea hapa. Ukawa tuchukue jimbo kwa ahadi gani sasa embu saidia kuweka details. Mh. Sugu kabanwa jimboni kwake kwa ahadi hewa hizi hizi unazotaka kuzianzisha hapa wananchi wanasema hawamchagui tena sababu hajaweza kutimiza ahadi. Sasa ukibanwa sana unakimbilia kusema kwani wewe ndio unakusanya kodi.? Ni lazima watanzania tujifunze kuahidi vitu tunaona viko chini ya uwezo wetu. Tusivyoviweza tuachane navyo kabisa.
 
Hizo pesa ni za kuchimba visima/mabomba au za kuwagawia wananchi?
 
Kugawa pesa kwa watu bado hakuyatui matatizo ga wananchi. Azitumie kutatua kero za wananchi na watamwona wa maana zaidi
 
Hizo pesa watakula na hata kuleta migogoro miongoni mwa wananchi.

Kama ni maji si kuna mafundi? Angepeleka mafundi kutengeneza
Kugawa pesa kwa watu bado hakuyatui matatizo ga wananchi. Azitumie kutatua kero za wananchi na watamwona wa maana zaidi
 
Hahahahaah ... yaleyale tunayoyaongea hapa. Ukawa tuchukue jimbo kwa ahadi gani sasa embu saidia kuweka details. Mh. Sugu kabanwa jimboni kwake kwa ahadi hewa hizi hizi unazotaka kuzianzisha hapa wananchi wanasema hawamchagui tena sababu hajaweza kutimiza ahadi. Sasa ukibanwa sana unakimbilia kusema kwani wewe ndio unakusanya kodi.? Ni lazima watanzania tujifunze kuahidi vitu tunaona viko chini ya uwezo wetu. Tusivyoviweza tuachane navyo kabisa.

Poleni sana,fedha yenyewe mnayoitegemea kununulia kura ndiyo inaporomoka kama maji yanayotiririka kutoka mlimani,safari hii hampati kitu kwa kuwa hamna ujanja wa kupata kura zaidi ya ujanja mliowekeza kwenye fedha.

Fedha yenyewe ndiyo hiyoo inapukutika kama maji, utafika wakati ambao hata ombaomba wa siku ya ijumaa watakuwa wanakataa kupokea kwa kuwa haitakuwa na faida kwao.
 
Huyo mama wa kati meno yote nje,udenda unamdondoka hapo anawaza kama vipi akabidhiwe yeye mzigo wote duh!
 
Mmmmh!!!!!! alinamatingo mmundu ujhu, jwani ukumlonda kukyela, kangi amyekye.
 
Hawa wabunge wa CCM ni majanga makubwa.

Ebu angalieni hapa Mwakyembe mbunge wa Kyela katuma wasaidizi kwenda kwenye kijij kimoja Kyela na kuwapa pesa eti anatimiza ahadi zake za kufufua maji.Pembeni mwenyekiti wa CCM wa wilaya anashuhudia na kushangilia.

Kama kuna tatizo la maji kwanii asiweke mafundi na badala yake anatoa pesa cash? Ukawa, hili jimbo tulichukue halina mtu.
mkuu tunakushukuru sana kwa ushahidi wa wazi wa siasa chakavu za mwakyembe , nakuahidi mwaka huu tutamng'oa mwakyembe na makandokando yake kyela bila wasiwasi wowote .
 
Sioni hajabu shillings imetupwa kwa watu kuwa na keshi mkononi isiyolipwa kodi

swissme
 
Hahahahaah ... yaleyale tunayoyaongea hapa. Ukawa tuchukue jimbo kwa ahadi gani sasa embu saidia kuweka details. Mh. Sugu kabanwa jimboni kwake kwa ahadi hewa hizi hizi unazotaka kuzianzisha hapa wananchi wanasema hawamchagui tena sababu hajaweza kutimiza ahadi. Sasa ukibanwa sana unakimbilia kusema kwani wewe ndio unakusanya kodi.? Ni lazima watanzania tujifunze kuahidi vitu tunaona viko chini ya uwezo wetu. Tusivyoviweza tuachane navyo kabisa.
sikiliza mkuu , wakati tunawafurumusha ccm kwenye serikali za mitaa kuna waliosema kama hivi , baada ya siku 7 visima 6 vilivyoishinda ccm kwa miaka karibu 60 vikawa tayari ! kuna faida nyingine tumepata baada ya kuisimika UKAWA kyela mjini ; vile vitisho na kushughulikiwa wafanyabiashara waliounga mkono upinzani sasa kwisha kabisa , kumbuka kwamba vitisho , utesaji , kukomoa na unyanyasaji ndio silaha kubwa sana ya ccm , kyela uoga kwaheri .
 
Hawa wabunge wa CCM ni majanga makubwa.

Ebu angalieni hapa Mwakyembe mbunge wa Kyela katuma wasaidizi kwenda kwenye kijij kimoja Kyela na kuwapa pesa eti anatimiza ahadi zake za kufufua maji.Pembeni mwenyekiti wa CCM wa wilaya anashuhudia na kushangilia.

Kama kuna tatizo la maji kwanii asiweke mafundi na badala yake anatoa pesa cash? Ukawa, hili jimbo tulichukue halina mtu.

Acha umburula wewe hy hela ni kwa ajili ya kutatua matizo ya ufundi,mafundi tayari wapo,mie nilikuwepo hapo wakati eanakabidhi,mtoa post umeandika kishabiki sn Mwakyembe hamumuwezi nyie ukawa
 
Kazi ya fundi mwenyekiti anapewa mapesa? Kisima chenyewe kinahitajika kuchimbwa upya. Hakiwezi kujengwa kwa milioni10. Msanii huyo anahonga ea

Back
Top Bottom