safi mwakyembe keep going
Blah blah hizi tumezizoeaDk. Harrison Mwakyembe ameliambia Bunge punde tu kuwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) litanunua ndege mbili mpya katika mwaka ujao wa fedha. Katika maelezo yake hajaweka wazi hadi sasa ATCL ina ndege ngapi zinazomilikiwa kwa asilimia 100 na shirika hilo mbali na kuzungumzia ndege kadhaa za kukodi. Najua JF ina wajuvi wengi, mwenye taarifa hizi atiririke hapa tujue!
safi mwakyembe keep going
Amesema pia TPA itanunua Meli za abiria na mizigo, ni story tu anasimulia, sina hakika kama sheria iliyoanzisha Mamlaka hii imeshabadilishwa.
Hawawezi kununua mpya,.. kwenye kukodi kuna ulaji bab- kubwa.Hizi habari za kununua ndege kama wimbo yaani kila ajaye anaongeza verse tuu.Labda Mwakyembe atautoa studio kbs