Mzee wa Masaki
Member
- Sep 30, 2012
- 21
- 15
Ninachojua ni Kweli hiyo Mama hupaa sana kuliko hata Mkuu wa kaya, ila kutojali wafanyakazi wake hilo sijuiMpaka sasa wafanyakazi wake hawajalipwa na Yeye kila mwezi ni lazima atumie pesa za Taasisi kwenda Ulaya. Wafanyakazi wamelalamika hadi kwa Waziri lakini Waziri kauchuna tu. Mtindo wa kulindwa na Waziri kunaifanya Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwa wakiwa na ndiyo maana kuna wkt kazi za utabiri zinafanyika ktk hali duni na kuleta matokeo mabaya kwa sababu ya watendaji bogus kulindwa na wanasiasa
Kabla hujaandika uwe na uhakika na unachokisema, na hasa pale unapotaka kumtuhumu mtu. Je, una uhakika kwamba wafanyakazi wa TMA wanalipwa kutokana na pesa zao wenyewe ambazo huyu mama anazitumia kusafiri? Na kama wanalipwa na Serikali, basi huu unaoleta hapa ni umbea na uongo. Nachojua mimi, wafanyakazi wa TMA wanalipwa na Serikali. Sasa ulitaka Waziri afanye nini? Ajibu upuuzi usiokuwa na ukweli wowote? Waziri Mwakyembe anaelewa ukweli ndio maana kakaa kimya.
Acha majungu, kama huna cha kuongea basi kaa kimya.
We uliyejibu hapa najua ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala ambaye mnalipana kinyemela na kuwaacha wafanyakazi wa chini wakinyanyasika. Jitambue acha unyonyaji!Kabla hujaandika uwe na uhakika na unachokisema, na hasa pale unapotaka kumtuhumu mtu. Je, una uhakika kwamba wafanyakazi wa TMA wanalipwa kutokana na pesa zao wenyewe ambazo huyu mama anazitumia kusafiri? Na kama wanalipwa na Serikali, basi huu unaoleta hapa ni umbea na uongo. Nachojua mimi, wafanyakazi wa TMA wanalipwa na Serikali. Sasa ulitaka Waziri afanye nini? Ajibu upuuzi usiokuwa na ukweli wowote? Waziri Mwakyembe anaelewa ukweli ndio maana kakaa kimya.
Acha majungu, kama huna cha kuongea basi kaa kimya.
Watanzania tuna tatizo moja kubwa. Mtu akiwa na mawazo tofauti tu basi ni adui, au yupo na huyo anayesemwa. Hapa tunaongelea hoja iliyoletwa na sio nani anasemwa. Au mnataka kila mmoja aunge mkono hata kama hoja haina mashiko?
Mleta hoja hoja amechanganya mambo ya mishahara na safari. Tufanye uchunguzi tuone taasisi ngapi za Serikali zinajilipa mishahara zenyewe, ni chache. Tatizo lingine ni kwamba, mimi Nina inamani kubwa na taasisi zinazoongozwa na wanawake kwamba zinakuwa na matumizi mazuri ya fedha, au kwa maneno mengine, viongozi wengi wa kike sio mafisadi kama viongozi wengi wa kiume. Kwa hiyo kabla hujamtuhumu kiongozi mwanamke kwa matumizi mabaya ya kifedha, tafiti kwanza.
Mfumo dume huwa hautaki kuongozwa na wanawake, ndio huu unaokimbilia kuwachafua bila kufanya uchunguzi kwanza.
Tuwavumilie wengine wanaokuja na hoja zenye msimamo kinyume na zile zinazokusudiwa kuvumishwa humu ndani.
We uliyejibu hapa najua ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala ambaye mnalipana kinyemela na kuwaacha wafanyakazi wa chini wakinyanyasika. Jitambue acha unyonyaji!
Na wewe unayelalamika utakuwa mlinzi au secretary! Umeshaambiwa Serikali ndio inalipa mishahara ya Mamlaka bado unalalamika. Umewahi kuona secretary au mlinzi wanasafiri kikazi???
Au unaajira ya mkataba hapo au uko field sasa umeona wakubwa wanafaidi roho inakuuma. Kasome bwana mdogo. Kuna tofauti kubwa sana kati ya Doctor na Nesi.
We uliyejibu hapa najua ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala ambaye mnalipana kinyemela na kuwaacha wafanyakazi wa chini wakinyanyasika. Jitambue acha unyonyaji!
Watanzania tuna tatizo moja kubwa. Mtu akiwa na mawazo tofauti tu basi ni adui, au yupo na huyo anayesemwa. Hapa tunaongelea hoja iliyoletwa na sio nani anasemwa. Au mnataka kila mmoja aunge mkono hata kama hoja haina mashiko?
Mleta hoja hoja amechanganya mambo ya mishahara na safari. Tufanye uchunguzi tuone taasisi ngapi za Serikali zinajilipa mishahara zenyewe, ni chache. Tatizo lingine ni kwamba, mimi Nina inamani kubwa na taasisi zinazoongozwa na wanawake kwamba zinakuwa na matumizi mazuri ya fedha, au kwa maneno mengine, viongozi wengi wa kike sio mafisadi kama viongozi wengi wa kiume. Kwa hiyo kabla hujamtuhumu kiongozi mwanamke kwa matumizi mabaya ya kifedha, tafiti kwanza.
Mfumo dume huwa hautaki kuongozwa na wanawake, ndio huu unaokimbilia kuwachafua bila kufanya uchunguzi kwanza.
Tuwavumilie wengine wanaokuja na hoja zenye msimamo kinyume na zile zinazokusudiwa kuvumishwa humu ndani.
Mtoa hoja yupo sahihi. Usichokijua wewe ni kuwa wanawake si mafisadi.Hapo sasa unahitaji kufanya tafiti mpya.Kijazi ni fisadi.Wafanyakazi hadi leo hawajalipwa mishahara yao.Mbaya zaidi hataki kuulizwa swali na wafanyakazi.Yeye kila kukicha ni safari za Ulaya na Afrika Kusini.Ni fisadi aliyepitiliza.