Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!


Wewe inaonesha ni mtu hatari sana katika maswala ya uchunguzi, Big up.
 
Hakuna kishindikacho kwa mungu, tupige goti tumwombe mungu amsaidie apone.
 
Vipi wife wake anasemaje? Kwa sababu siku zile za mwanzo alitoa povu akisema sio sumu kama vile yeye ndiye dokta mkuu wa India, nafikiri nafsi inamsuta kwa alichomfanyia mme wake.
 
Hata kama Mwakyembe aliwakosea watanzania kwa kuficha ukweli juu ya sakata la richmond ili kulinda serikali, siwezi kumwombea mateso kama haya! Pole Mwakyembe tunakuombea upone haraka uje kutupa ukweli wote.
Sahau kumwona akija kutujulisha chochote, labda arudishwe Bongo aombewe au aende kwa waganga wake wa jadi huko Mbeya, nasema hivi kwa sababu kama hospitali ya India ingekuwa ni msaada hali yake ingetengemaa badala ya kuwa mbaya zaidi.
 
Kama ni kweli kuna mtu au watu walio husika, basi MMungu asikie ombi hili! "Walaaniwe kila wanapoingia na kutoka! Watoto wao Wawe Yatima! Wake/Waume zao wawe
Vizuka/Wagane! Wapambane na kifo cha aibu hadharani! Kaburi lake lisiwe na Kumbukumbu, na likiwepo watu na wanyama wanye juu ya kaburi ili watu wakipita inzi wawazomee wooo!....EE MMungu sikia maombi haya.! Kila mwenye mwili na Aseme AMINA.
 
hivyo vipimo vya kulishwa sumu umevitoa wapi?


Kuna baadhi ya thread husomi? Au hata huyo utabisha kuwa siyo Mwakyembe. Mambo mengine mnayoyafanya hata shetani atawakana.
 
Pooor Mwakyembe nakuhurumia sana, mungu atakusaidia mpiganaji wetu, tunakumiss katika usimamizi wa barabara zetu, hasa kanda ya magharibi kulikokuwa kumesahaulika vibaya
 
Kwanini wanatutenda hivi Wanyakyusa?leo zanzibar wanataka kujitenga,kesho southern highland
2tataka kujitenga kwa kutulaghai ujenzi wa
Mbeya International Airport for more than 8years,wamebatilisha uendelezaji wa MIST kuwa University of Science and Technology na badala yake wanaenda kukijenga Arusha kama Mandela University.I DO CRY
FOR THIS.
 
Ukimchunguza Sitta kwa makini naye anazo dalili za maradhi yanayomsibu Mwakyembe, its just a matter of time. Du mamvi nomaaaaaaa.
 
Mungu.....saidia taifa letu....tulitawale sisi wenyewe kwa amani na maendeleo.....ccm sio chama cha kutuletea maendeleo,ccm ni wauhaji na mafisadi wakubwa....
 
sasa naona mambo ni magumu sana siasa ya nchi inakoelekea ni mbaya
sijui Pr.Mwakyusa
 
sasa mbona TISS A001 na TISS 32 hawaelewani kama ni kweli walipanga iyo mission?
 
Mi bado naamini anao watu,vyombo,taasisi anazoziamini. Arekodi kwenye CD siri zake,akabidhi.Kwa mtazamo wake yeye labda akigundua zilikuwa ni njama za kumuua basi atakapoaga dunia[Mungu apishie mbali],CD itolewe hata kwenye you tube. Au waziwazi kama ni taasisi na si mtu mmoja.
 
huyo basi tena jamani kama si leo baada ya miezi kadhaa

eeeee mungu tusaidie
 
. Haswaaa! Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Lakini ukumbuke kuwa HATA uchague mtu mzuri, wewe uliye na utambuzi na uelewa, mzazi wako ( hasa kinamama) kule ushagoo atachagua CCM iliyooza. Na vijijini walio wengi ni mbumbumbu kabisaa, and that includes our own parents! Na huo ndo hasa MTAJI mkubwa wa CCM. UJINGA. Ipo mitaji mingine mingi tu tunayoifahamu, lkn hilo ndo kubwa.
Hata hivyo, na hii yasikitisha sana, PREZIDAA anahakikisha kuwa ujinga siyo unabaki palepale, bali unazidi huko ushagoo kwa kusaini kale kamswada ka KATIBA. Ole wake jitu lingine lianze kufanya kazi ya kamati teule ya marekebisho haya, chamoto litakiona. Kauli ya Bunge hiyo.
Lazima tuipate nakwambia!
 
Sahau kumwona akija kutujulisha chochote, labda arudishwe Bongo aombewe au aende kwa waganga wake wa jadi huko Mbeya, nasema hivi kwa sababu kama hospitali ya India ingekuwa ni msaada hali yake ingetengemaa badala ya kuwa mbaya zaidi.
Wamrudishe ili kina Gwajima wamuombee uzima kabla hajafa. Wana uwezo mkubwa wale, mpaka watu wanafufua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…