Mwakyembe ageukwa

nasikitika sana kuona mama kama wewe unalea upuuzi wa kuua shirika na kuona its a big deal kufanya matengenezo ndani ya nchi, ndo kitu cha msingi sana alichokifanya unachokiona wewe?? ndio nabwatuka maana kodi zangu zinapotea bure kwa wapuuzi kama nyie mnaolipwa mishahara bila ya kufanya kazi
 

amekosea,,,maana mwanzo alilalamikia hukohuko kwenye media
 
Wafanyakazi wa
ATCL wapinga maamuzi ya
Muheshimiwa Harrison
Mwakyembe ya kumtimua
aliyekua kaimu mkurugenzi mkuu
wa ATCL kwa Bw. Paul Chizi kwa
hoja ya kwamba amefanya hivyo
kwa tofauti zake binafsi na Bw.
Paul Chizi na si kwa sababu za
kiutendaji source "clouds F.M"
 
Mpiga majungu kweli haachi fitina. Hivi wewe ulitaka amteuwe nani mwenye sifa anayemzidi Lusajo? Jamani acheni wivu na kuwapaka watu matope...lo!
shida aliyekuwepo anaupungufu gani?sio wivu wala nini,tuwe wawazi maana kazi yake watanzania tumeiona,sasa tatizo lilikuwa wapi?.pia ujue kujua kazi sio sababu ya kuwa msimamizi na mpanga mipango bora.
 
nakumbuka alisema kuwa uteuzi wa huyo chizi ulikiuka taratibu, tungependa kujua ni taratibu zipi zilikiukwa na ilitakiwa iweje, ni sheria gani ilihusika katika kumteuwa na ni ipi iliyofuta sheria ya mwanzo.
 
basi tuambie hayo madudu wewe mfanyakazi bora.wewe sema alifanya madudu;
1.
2.
etc ili tujue,sio kwa manufaa yangu tu bali kwa wote ambao wanahitaji kujua.
 
Tunasubiri mengi yasemwe. Tapikeni yote.
 

jamni wenye taharifa walio huko jikoni mtupe taharifa kamali kuhusu ukweli huu maanake wengine wanasema kamteua mnyakiusa mwenzake Lusajo sasa tunashindwa kuelewa ukweli ni upi
 
hizi ni peche peche tu,acheni mwakyembe afanye kazi
 
Politics............siasa za kumchafua.
 
Lusajo ni rubani wa siku nyingi sana tena ni highly qualified, jamani!!
Huu ndio upuuzi unaoifanya nchi hii kubakia maskini. Rubani kazi yake ni kuendesha ndege, kuongoza shirika la ndege lazima uwe umebobea katika STRATEGIC Management na sio urubani. Paul Chizi alikuwa boss wa JETLINK, shirika la waKenya, kwa wakenya kumpa uboss mtanzania hawezi kamwe kuwa mbabaishaji, hata kidogo kwa vile kule kuna ushindani sana. Waziri Nundu alimuomba aache kazi kule aje kuokoa jahazi nchini kwake, nyie mnataka afanyiwe interview wakati credentials zake ziko clear!? Kwa muda mchache aliokaa amefanikiwa kuleta ndege ambayo ndo most competent kwenye soko la afrika masharika. Boeing 737-500 inabeba watu 108 na inatumia saa moja kamili DAR to Mwanza kwenye abiria wengi. Iko very efficient kwenye fuel. Precision wana boeing yao inabeba abiria 137 lakini mara nyingi haijai na inakula mafuta zaidi pia inatumia saa moja na dk 10 Dar to Mza. Fly 540 wanatumia Jet inabeba abiria 54 tu ingawa iko fuel efficient kama hii ya ATC lakini inatumia saa moja na dk 15 Dar to Mza. Kama umeenda kidogo shule calculate COMPETITIVE ADVANTAGE hapo then utaona kwa nini hata bei Bw Chizi aliweka chini kuliko bei za hao wengine. Jamaa wa mashirika binafsi huyu jamaa aliwanyima usingizi kabisa. Sisi tunaotumia huu usafiri mara nyingi tumehuzunishwa sana na kuondolewa kwa huyu jembe kwa alitupa bei ya ukombozi na ndege inakuwa full wiki nzima toka imefika. Labda kaondolewa kwa kuwa yuko KAMBI YA LOWASSA!!!!
 
Tusimjadili aliyeteuliwa, nafikiri ni vyema zaidi tukajadili kufukuzwa kwa aliyekuwepo je amefukuzwa kwa uhalali?

Umesema jambo la msingi sana. Let Mwakyembe tell Tanzanians Kama aliyetenguliwa uteuzi kuna justification in law and employment rules ya kufanya hivyo. Vinginevyo haitakubalika wa wasifu alio nao Mwakyembe. Ataeleweka vibaya sana tena sana na Bunge tutaliomba limwajibishe kama wenzake!!!
 
sa mizengwe itoke wapi wakati shirika na ndege zake zimekufa?? wanataka ushahidi gani tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…