misingi haifuatwi sijui kwa nn..au ni hiii😈😈😈😈 sababu???Duh...!.
P
katiba ndio msimamo toshaJamaa ana misimamo
Hii hii tunayolilia ibadilishwe kila siku?katiba ndio msimamo tosha
kubadilishwa ni muhimuHii hii tunayolilia ibadilishwe kila siku?
Lazima ibadilishwe sababu haijasimamakubadilishwa ni muhimu
Nilitegemea Pascal na wewe uweke inputs zako hapa.Duh...!.
P
Mkuu SAGAI GALGANO , sometimes ukijiona unatofautiana na Mkuu wako kwenye matters of principles, unaamua bora unyamaze usije kumdhalilisha boss wako!.Nilitegemea Pascal na wewe uweke inputs zako hapa.