Mwakinyo, Sina mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,876
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria

Mwakinyo anatarajia kupigana na Julius Indongo, kutoka Namibia Septemba 3, 2021 wakipigania mkanda wa African Boxing Union Super Walter Title

Mara kadhaa bondia wa Twaha Lubaha maarufu kama Twaha Kiduku amekuwa akitamka kutaka pambano na Hassan Mwakinyo
 
Safi sana, Nayeye Twaha akapige ndondo Ulaya au Marekani ili tumpime uwezo wake, au ndio uchawi hauvuki bahari?
 
Tatizo la Twaha Kiduku ni kumsikiliza Babu Tale! Badala ya kuwaza kuitangaza nchi Kimatifa, yeye anawaza kupambana na Wabongo wenzake, huku akiwakamia ili mwisho wa pambano azawadiwe Toyota Crown, Brevis, nk. Badala ya Mikanda ya Kimataifa.
 
Kweli kabisa, Twaha atafute kwanza mapambano ya hadhi ili afahamike duniani end then wakiwa best wanaweza kwenda kutuanga hata Madagascar wakavuna pesa
 
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria

Mwakinyo anatarajia kupigana na Julius Indongo, kutoka Namibia Septemba 3, 2021 wakipigania mkanda wa African Boxing Union Super Walter Title

Mara kadhaa bondia wa Twaha Lubaha maarufu kama Twaha Kiduku amekuwa akitamka kutaka pambano na Hassan Mwakinyo
Mwakinyo bado unamtumia yule mkalimani wako uliyeenda naye Uingereza?
 
Mwakinyo kwa Kiduku hata round ya 5 hafikishi, hao mapromota waendelee kumletea mabondia wabovu, na ndio maana Mwakinyo hata Russia athubutu kwenda kupigana kule anajua atapigwa while Kiduku na Dulla mara nyingi tu huwa wanaenda kupigana Russia,

Mwaki kulinda career yake uwa anataka kupigana na mabondia wenye uwezo mdogo hata huyo mnamibia sidhani kama anafikia rekodi ya Kiduku au Dulla.
 
Mwakinyo kwa kiduku hata round ya 5 afikishi,hao mapromota waendelee kumletea mabondia wabovu,na ndio maana mwakinyo hata russia athubutu kwenda kupigana kule anajua atapigwa while kiduku na dulla mara nyingi tu uwa wanaenda kupigana russia,mwaki kulinda career yake uwa anataka kupigana na mabondia wenye uwezo mdogo hata huyo mnamibia sidhani kama anafikia rekodi ya kiduku au dulla
Mnamibia aliwahi kuwa World Champion, ingawa sahivi umri umesogea hayuko kwenye 'prime'
 
Kwa hyo mabondia wanaopigana na Twaha ndio real boxers? Na matokeo huwaje? Acha uongo mwakinyo anapigana na mabondia wajuu na anashinda ndio maana anashika nafas ya 24 duniani kwenye uzito wake.
Hao ndio dizaini wa kulinda heshima ya mwakinyo,real boxer hataki kupigana nao
 
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria

Mwakinyo anatarajia kupigana na Julius Indongo, kutoka Namibia Septemba 3, 2021 wakipigania mkanda wa African Boxing Union Super Walter Title

Mara kadhaa bondia wa Twaha Lubaha maarufu kama Twaha Kiduku amekuwa akitamka kutaka pambano na Hassan Mwakinyo
Mwakinyo atapigwa tena kwa mara nyingine na asitegemee mbeleko ya home ground maana hatomaliza rounds zote.
 
Heb tuangalie rekodi zao kidogo. Mwakinyo vs kiduku
Screenshot_20210822-235512.jpeg
Screenshot_20210822-235215.jpeg
 
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria

Mwakinyo anatarajia kupigana na Julius Indongo, kutoka Namibia Septemba 3, 2021 wakipigania mkanda wa African Boxing Union Super Walter Title

Mara kadhaa bondia wa Twaha Lubaha maarufu kama Twaha Kiduku amekuwa akitamka kutaka pambano na Hassan Mwakinyo
Mwakinyo asipigane kabisa na hawa underdogs aachane nao kabisa afocus kwenye mapambano ya kimataifa
 
Back
Top Bottom