Kuna tetesi nyingi sana kuna wanaosema anataka 200m, mara wanasema 7m, 15m,20m,40m,70m,100m, wengine wanasema 500m, wengine wanasema 600m, wengine wanasema 800m, wengine wanasema 1B, wengine wanasema anataka $1m
Kila mtu anasema ya kwake.
Kama ningekuwa mwakinyo ningekaza kwenye $1M , hakuna kushuka 🤣. Kama Mayweather anavyotaka hela nyingi kwa pambano moja.