N mwenyeji kwa miaka 30+We ni mgeni hapa Tanganyika?
Dogo hAma nchi afrika unataka watu wanyenyekee ama wajingajinga.I advice Mwakinyo when this stupid case is over, he should seek for nationality in other countries...in Europe maybe
Thus why I have advised him to leave. Hapa Tanzania atapata matatizo makubwa mana ni kama watu wanaokula na matumbo yao kuvimba kupitia kuwanyonya maboksa wa ndondi, hawataki upigaji wao uguswe kwa namna yoyote..Dogo hAma nchi afrika unataka watu wanyenyekee ama wajingajinga.
Cheki mbape alisepa
I advice Mwakinyo when this stupid case is over, he should seek for nationality in other countries...in Europe maybe
Mpo mnamsaidia hadi kummalizaAstakafurilahi, Mawazo ya ubaguzi hayo..!
Huyu ni wetu tu hapa hapa haendi popote.!
Hawezi kutukimbia Sisi tuliomlea...alituita anko mara shangazi mara mama mdogo mara baba mkubwa, na tukamsaidia. Aende Wapi?
Mshamba huyo Mwakinyo kampiga dogo wa mafia boxing mwaka jana watu wakamezea..Mtoa mada unaishi wapi? Isije kuwa unaishi Namtumbo afu unajikuta unajua mambo ya Tanga huko
Huyo jamaa hajui ,mwaka jana Mwakinyo alimpiga dogo wa mafia boxing bila ya sababu ...Anataka mtaa mzima wamuogope ,akashauriwa anatukana.Hakuna bondia alliyependwa kwa muda mfupi jijini Tanga toka enzi za akina Bakari Mambeya kama Mwakinyo,kwa bahati mbaya amezingua mwenyewe baada ya kuendekeza ubabe pori.Ungefanya utafiti japo kidogo wa jambo unalojaribu kulitetea
Amejenga huko Au amekuta jumba la zamaniUnakuwa bondia mkubwa
Unaenda kukaa kijijini na kugombania Nazi
Kitu gani kinamfanya anaishi maporini katika maghofu?
Kupiga watu na kujeruhi ndo kusurubiwa na watesi wake? Utasema Mwakinyo alijeruhi mwizi,uko sawa lakini ni wapi dunia hii au nchi hii ambako sheria zinaruhusu mwizi kupigwa na kujeruhiwa? Unaruhusiwa kutumia nguvu kidogo ili kumdhibiti tu basi.Mwakinyo alishamdhibiti tayari.Nampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania
Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa
Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi wakubwa wa serikali walimfata akagoma
Mwakinyo alikataa kupigana Kwa ajiro ya gari CROWN akidai ina maslahi kidogo
Kuna mabondia wanakufa wakipigania malipo ya elfu 60
Soma Pia:
Pole Mwakinyo Kwa kuzaliwa Tanzania nchi yenye mazwazwa wengi watu wenye wivu na mafanikio ya watu. hapa ndo Tanzania ukidai haki zako wanakutia mjuaji na utatafutiwa namna ya kupotezwa
- Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga
- Mwakinyo anashikiliwa na jeshi la Polisi tangu jana Alhamis 6 March, 2025
Umemthibiti kibaka aliyeingia getini bila taarifa wanasema eti alikuwa anaokota Nazi, yaani umeangushia gunia la misumari kwamba wewe ni katiri na muuaji vip walitaka huyo mwizi akuuwe wewe
Nasikia adhabu ya kifungo miaka 7 ndo inafuata ili ukae huko unyooke
Pole Mwakinyo,