Mwakalebela afunika vibaya Iringa (mafuriko)

Mwakalebela afunika vibaya Iringa (mafuriko)

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
Katika hali isiyotarajiwa mgombea ubunge wa CCM jimbo la Iringa amepata mafuriko ya watu katika mikutano yake ya kampeni kama picha zinavyojieleza na kutokana na misongamano ya watu wengine walijikuta wanazimia hovyo

1442151504547.jpg

1442151530839.jpg

1442151549590.jpg
 
Na huyu nae ndo anataka ashinde khaaaaaa....
Hajaona alichofanya Msigwa jana
 
Katika hali isiyotarajiwa mgombea ubunge wa ccm jimbo la Iringa amepata mafuriko ya watu katika mikutano yake ya kampeni kama picha zinavyojieleza na kutokana na misongamano ya watu wengine walijikuta wanazimia hovyo

Hahahaaaa! Punguza Mahaba Kwa Mwakelebela Mkuu! Ndio Uzinduzi Nini?
 
Yan magamba bila bongoflv hashngepatikana hata mtu mmoja
 
Hivi kwa watu hao 'kiduchu' ndiyo huyo Mwakalebela na CCM wanaota ndoto ya kulikomboa jimbo hilo toka kwa Mchungaji Msigwa wa Chadema?
 
Back
Top Bottom