Mwaka wa tabu tena?

Mwaka wa tabu tena?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,928
Reaction score
828,568
Mwaka wa taabu tena? Huku chama chawala huku Yanga.. Kwani mganga wao nani?
Tumewachoka sass🥱
FB_IMG_1758042787352.jpg
 
Nasubiri atakaye comment ujinga wakati watu tuna machungu🥴View attachment 3473790
Poleni mno kuna mwenzenu huku mama muuza genge mwanzo wa gemu alikuwa na tabasamu kweli, gemu imeisha narudi gengeni nakutana na mtu kama kala pilipili nikajiroga kumpa pole mbona nilijuta amesema nifanye juu chini game zijazo marefa wawe wazungu 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa sijui nimegeuka GSM au Engineer
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom