mwaka wa pili sasa!

mwaka wa pili sasa!

Dah!ni changamoto from year 2011 to present sijapata ajira pia,MWENYEZI MUNGU tupushe na balaa la ukosefu wa ajira,Amin.
 
habari zen ndugu zangu! ni mdada wa miaka 26 sasa jamani tangia nihitimu chuo mwaka juzi july mpaka leo cjapata kazi wallah! nafanya application ziczo na kikomo yanni lkn wap! nimejitolea sehemu km mbili hv lkn nimeacha ktokana na kwamba hawanipi hata hela kumi so hata ya usafiri nakuwa nakosa sasa! dah! nina bachelor ya business administration! nisaidie jamani angalau pakushkiza....huko tigo,voda n.k cstomer care pia nakutaka! du c mchezo....website nyingi za kazi nazpitia kila baada ya nusu saa nafanya application online n kwa posta lkn bado jaman

tatizo utakua huna mvuto kivile.that's why hupati kazi... ushauri wangu jaribu kujipiga make up za maana na uvae nguo za kimitego unapoenda kwenye interview, yaan hapo lazima utapata Kazi..
NB: usivae baibui siku ya interview,hutochaguliwa ng'o!
 
Back
Top Bottom