korino
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,014
- 684
habari zen ndugu zangu! ni mdada wa miaka 26 sasa jamani tangia nihitimu chuo mwaka juzi july mpaka leo cjapata kazi wallah! nafanya application ziczo na kikomo yanni lkn wap! nimejitolea sehemu km mbili hv lkn nimeacha ktokana na kwamba hawanipi hata hela kumi so hata ya usafiri nakuwa nakosa sasa! dah! nina bachelor ya business administration! nisaidie jamani angalau pakushkiza....huko tigo,voda n.k cstomer care pia nakutaka! du c mchezo....website nyingi za kazi nazpitia kila baada ya nusu saa nafanya application online n kwa posta lkn bado jaman