E Edwin Chapa Member Joined Jun 3, 2011 Posts 54 Reaction score 12 Dec 31, 2011 #1 MWAKA WA MAAJABU 2011. Chukua tarakimu mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa,jumlisha na umri ulionao utapata jibu kuwa ni 111, unajua maana ya namba hz? kama jibu lisipokuja hlo unadanganya umri!
MWAKA WA MAAJABU 2011. Chukua tarakimu mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa,jumlisha na umri ulionao utapata jibu kuwa ni 111, unajua maana ya namba hz? kama jibu lisipokuja hlo unadanganya umri!
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Dec 31, 2011 #2 i see ni kweli mwaka wa maajabu na ndio maana ulikuwa umekaa kushoto kushoto tu
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,235 Reaction score 4,342 Dec 31, 2011 #3 FirstLady1 said: i see ni kweli mwaka wa maajabu na ndio maana ulikuwa umekaa kushoto kushoto tu Click to expand... Maajabu yenyewe ni pamoja na Watanzania kurudi kwenye zama za.stone age yaani (bubu wa Loliondo)
FirstLady1 said: i see ni kweli mwaka wa maajabu na ndio maana ulikuwa umekaa kushoto kushoto tu Click to expand... Maajabu yenyewe ni pamoja na Watanzania kurudi kwenye zama za.stone age yaani (bubu wa Loliondo)