Mwaka unaisha! Ni mambo gani yamekufanya uchelewe kuoa au kuolewa kutokana na umri wako?

Napenda kujua kama mlifanikiwa kuingia kwenye ndoa
 
Mkuu ulifanikiwa kuoa?
 
Vipi 2022 hii sasa. Mambo yalikuja kukaa sawa?
 
Hapohapo kwenye u serious ndo unapokosea,inaonesha ww ni design ya mwanamke unatongozwa leo na mnataka muanze kudiskas habari za ndoa au plan za watoto!wanaume huwa tunaogopa watu wa design hiyo,userious huja wenyewe tu kwenye mahusiano namna unavyoshiriki au kuwa part ya maisha yake anajikuta hana options!!
 
Dah! Umeandika kwa hisia Kali Sana mkuu ila nakuombea mkuu akufanyie wepesi katika hili.
Naamini ipo siku Mungu atakudondoshea zali la mwanamke mzuri atakayekidhi vigezo vyako na bila Shaka mtaoana na mjenge familia be yenye amani na upendo.
 
Mkuu,hebu zingatia hiyo namba 3 Kisha ifanyie kazi ipasavyo na bila Shaka utapata +ve results,ila kumbuka kwamba kila mtu Ana madhaifu Yake...oa tu
 
Hata sijawahi
Mimi ni yule mtu nakaa kwenye mahusiano huku nakusoma kimya kimya.
Kuna watu tu ukiwa nao unawaona uelekeo wao hata mmalize miaka unajua tu hapa mbona hapaeleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…