Mwaka mzima, mshara unalipwa tu siku 12

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,489
Reaction score
1,466
Kama wewe ni muajiliwa, thamini jasho lako.

Siku ukigundua kuwa kwa mwaka mzima, yaani jumla ya miezi kumi na mbili(12), unalipwa tu siku 12, basi jifunze kuthamini hicho unachokipata, ila kumbuka siku nyingine ndo hivo ni hasara tu.

Ukipenda pia, uwe unaingia kazini siku ya kupokea mshahara tu. Ndo nachofanyaga na mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…