Ni pande zote Lizzy,
Kila mtu kwenye ndoa anakutana na changamoto zake ingawa zinaweza kutofautiana uzito!
Mfano, wakati Nyamayo anaongelea mtu anayeshinda nje akihangaika kutafuta tafuta kama jogoo la kienyeji, pia wapo wanaume ambao wanaishi kwa kustarve...Yaani kupewa dinner mpaka mama aamue au sijui apewe ruhusa na mtu mwingine!!
Ndio maana ukifuatilia, vilio vinavyoletwa hapa kwenye ukumbi wa MMU vinatokea pande zote (Me and Ke)!!
mi nikisikia matatizo ya watu ndio nazidi kuchoka ingawa haimaanishi mwenzako akifikwa na mabaya nawe yatakufika ila inaogopesha.
Nyamayo sasa wewe ndiye unaanza kuwatisha wadogo zetu!!
wa2 2na act kina Kanumba cha mtoto...haya bwana ngoja 2subirie mpaka cku m2 utakapoamua kuamka asubuhi na kufungasha masalifeti yako...(when a woman is fed up)..inakera sana.
@babu DC, najua ipo siku nitajitosa mazima kwenye ndoa ila dah........
Hahahaha. . . hapo kwakweli bora nisemwe sina uvumilivu, simpendi na mengineyo ila siwezi kujifanya mjinga na kuangalia tu wakistareheshana huku nikisubiria makombo nyumbani. Kuna ya kuvumilia aisee na mengine inabidi mtu ukubali kupitwa tu. Ndio maana wengine wanaolewa na wa kizamani kidogo, angalau wao walishazunguka kila mahali na sasa wanapumzika na wake zao tu.
Hahahaha. . . hapo kwakweli bora nisemwe sina uvumilivu, simpendi na mengineyo ila siwezi kujifanya mjinga na kuangalia tu wakistareheshana huku nikisubiria makombo nyumbani. Kuna ya kuvumilia aisee na mengine inabidi mtu ukubali kupitwa tu. Ndio maana wengine wanaolewa na wa kizamani kidogo, angalau wao walishazunguka kila mahali na sasa wanapumzika na wake zao tu.
Ni pande zote Lizzy,
Kila mtu kwenye ndoa anakutana na changamoto zake ingawa zinaweza kutofautiana uzito!
Mfano, wakati Nyamayo anaongelea mtu anayeshinda nje akihangaika kutafuta tafuta kama jogoo la kienyeji, pia wapo wanaume ambao wanaishi kwa kustarve...Yaani kupewa dinner mpaka mama aamue au sijui apewe ruhusa na mtu mwingine!!
Ndio maana ukifuatilia, vilio vinavyoletwa hapa kwenye ukumbi wa MMU vinatokea pande zote (Me and Ke)!!
nipo baba...mic u 2.....heri ya mwaka kwako!...namckilizia 2 DC na sera zake za kuimarisha ndoa mwaka huu...cjui ha2kutakiwa kuziimarisha kuanzia 2lipopanda mbegu?....
Nakubaliana na wewe,
Hii ni ngumu si tu kuvumilika bali hata kueleweka kwa watu tulio wengi!!
Matatizo ya kwenye ndoa ni sehemu ya maisha.....
Hata anapokufa mgonjwa mmoja, wengine hawakimbii hospitali!!
Tunajiribu kuwapa moyo wadau ili waunge unge na siku ziende.
Ila ni kazi ngumu kweli dada!!
Niseme tu ukweli tukishafikia hatua ya mimi kumfulia boxer alizochafua huko kwa nyumba ndogo huo ndio mwisho wa safari yetu pamoja. Ila wanaoweza wao waendelee tu. . . .hahahahah umenipa raha ya kulalia.....wenzio 2meshazoea...sasa cjui nyie kama mtaweza kujitoa mhanagahivi, ukweli ni kwamba mwanamke ndio huwa anajitoa kwa asilimia kubwa sana kwenye ndoa......
Mbu bro wangu wala hayajanikumba nafanya 2 kurewind tape, sasa hivi nipo shwari nawatolea 2 mfano warembo we2 humu.....
Kaaazi kweli kweli!!
Inabidi watu wawe wanaandikishana (makubaliano ya nini wafanye/wasifanye wakishaoana) na kuwe na sheria za kulinda wanandoa wanaoonewa. Ukimnyima mume chakula bila sababu ya msingi unalipishwa fine, ukitoka nje ya ndoa unalala Keko mwezi. . . . labda discipline itaongezeka.
...dahhh, nyamayao yamekukumba yepi tena ilhali ndio kwanza tupo ukurasa wa pili 2012?
vumilia bana, punguza expectations zako kwake/kwenye hayo maisha...
yaani inafikia wakati unamchukulia mtu ndio majaaliwa yako, baada ya hapo kila anachofanya hakitakukera tena.
...okey, okey....kwa nijuavyo neno hilo jekundu linavyo-sound, nakukubalia kabisa muda bado...subiri!
Khaaa. . . afadhali babu upo kuniambia "umefanya maamuzi sahihi mjukuu wangu" yakinikuta badala ya kunilazimisha kuvumilia mpaka ufuatwe kuombwa rambirambi.Nakubaliana na wewe,
Hii ni ngumu si tu kuvumilika bali hata kueleweka kwa watu tulio wengi!!
...aha, ok....mie mwenzio majalada ya kumbukumbu yote nimeshaya tupa kule! ...2012 naanza kitabu chenye kurasa mpya...
...sina haja tena ya kujibebesha machungu ya 2011, niliyotoka nayo 2010 niliyochanganya na yale ya 2009 niliyoyaanza 2008...
Kaaazi kweli kweli!!
Inabidi watu wawe wanaandikishana (makubaliano ya nini wafanye/wasifanye wakishaoana) na kuwe na sheria za kulinda wanandoa wanaoonewa. Ukimnyima mume chakula bila sababu ya msingi unalipishwa fine, ukitoka nje ya ndoa unalala Keko mwezi. . . . labda discipline itaongezeka.
2. Heshima na uvumilivu…Bila kuyaonesha haya kwa vitendo lazima ndoa itayumba
Niseme tu ukweli tukishafikia hatua ya mimi kumfulia boxer alizochafua huko kwa nyumba ndogo huo ndio mwisho wa safari yetu pamoja. Ila wanaoweza wao waendelee tu. . . .