Mwaka huu tutaona viroja vingi!!

Mwaka huu tutaona viroja vingi!!

Hahaha hehehe kwikwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Siku imeenda tayari!!!
 
Kapendeza kweli,yaani hapo wangempa tu uganga wa kienyeji nadhani ingependeza zaidi.
 
hivi ni mie tu au wotemnamuona huyu dr Bilal is sooo borrring?!:noidea::tape:
 
ametoa meno tuuu yeye Dr wawatu mweeee!
 
weee! Ishia hpo, hapo! Slaa yeye ndo vazi la asili ya kwao ndo mana ha2semi! Mzanziber na shuka wp na wp? Tehe, tehe, tehe! Amekuwa km ajuza walah tn! Hapo akkabidhiwa na ucnga Kwishnehi, aanze kugawa vkombe bas, manake hyo kaz ndo imfaayo! Tehe tehe tehe! Kwel nmeshuhudia kiroja cha kufungulia mwka!
Cha ajabu ni kipi apo?mbna silaha akivaa ausemi?
 
kumbe na ucnga keshapewa! Wajamen mganga wa jad huyo, kaz kwenu! Anatb magnjwa yte sugu!
 
Back
Top Bottom